MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,802
- 72,057
Wasalaam,
Humu JF kuna vizazi vingi vimepita tena vingine vinapotea.
Sasa sijui wakwapi hawa watu.
Kuna Jamiiforums 1st Generation-Hawa ndiyo wale waliishi the Golden Age kati ya Miaka ya 2006-2009.Mimi hawa huwa nawaita EL-DORADO maana ulikuwa ukitembelea JamiiForums ulikuwa hutoki mtupu kichwani.
Hawa ndiyo wale wasomi wenye uwezo wa kuisaidia nchi kwa kupitia maandishi yao.
It was a happy and a lovely community.
Watu walikuwa wanafanya JF party openly.
Ghafla Darkness came,..hichi kizazi kikaanza kupotea sijui ni multiple ID crisis au lack of flavour..Only God knows.
Kulikuwa na watu kama Moshe Dayan Steve Dii , AshaDii EMT mwita Mkandara, Mchambuzi just to mention a few.
Lakini now the tide of time have swept them AWOL.
Japo some have endured but wachache wako vilevile katika hali yao ya zamani.
Mfano The Boss, Nyani Ngabu Kiranga Mzizi Mkavu King'asti gfsonwin etc
Ninavyohisi mimi hii cream ina watu wazima hata kiumri.
And for that I thank them for their contribution;they made my brain bigger than it was.
Nilijifunza mengi sana.
Kuna Jamiiforums 2nd Generation-Somewhere in between late 2009-early 2013.Hii duration naiita DARK AGES kwa JAMIIFORUMS.
Mimi kizazi hiki ninawaita HYBRIDS kwasabubu wako nusu nusu. Hiki ni kizazi kilichoanza kuleta uhuru wa manyani hapa JamiiForums hasa baada ya Uchaguzi mkuu wa mwaka 2010.
Kizazi hiki kiko Dominant gene yake ni UCHAMA UCHAMA UCHAMA na recessive gene ni Utanzania.
Sometimes wako Objective na wanajua nini wanajua nini wanachokifanya lakini kwa makusudi wamejitia upofu.
The rise of this generation ilisababisha matatizo kwa Moderators na first generation wa JF.
Kipindi hichi ndiyo majina kama GREEN CARD ELITES au WABEBA BOX yalizaliwa na ilikuwa ni moja ya matusi waliyotukanwa 1st Generation kwasababu 2nd Generations wengi were envious and didn't have the Savvy to bolster logical arguments.HaaaHaaa really funny. Nyani Ngabu ni shaidi wa hili.
Watu .wanatukana nje nje tu,..huko PM ndiyo usiseme ni full kuleta vitisho kwa watu. Mind you siyo wote.
Wengine ni wale YOUNG WILD AND FREE mfano kuna binti humu anaitwa lara1 ni sheeda.
These are the Agents of influence and Fifth Columinists in case first generation anapata ID nyingine.
Mfano Mzuri ni hawa faiza foxy, Elungata, Lizaboni Ritz Nicholas na wengine wengi.
Subirini waje ndiyo mtajua Kizazi hiki ni kigumu.
Then came Jamiiforums 3rd Generation- kuanzia huo mwaka 2013-2015 leo hii. Hii generation mimi ninaiita THE WANNABES.
Its either somebody wants to emulate the first and the Second Generations but end up annoying people and looking up look buffoons.
Siyo wote ni wabaya wenye BUSARA WAPO. Most of them have identity crisis na unakuta pia wengi ni wale REJECTS au FULL-TIME BANNEE wa 2nd Generation wamerudi na visasi au wamekuja rekebisha image zao.
Ukitaka kuthibitisha nenda Jukwaa la Siasa,..its no longer fascinating..Cheer-leading and cheer-leading. Intelligence ndiyo usiseme na MMU maaan its a disaster. Mwaka jana na mwaka huu mwanzoni moderators walikuwa wanaunganisha thread hata kumi na mtu moja mwenye ID tofauti.
On the other hand kuna wale INTELLECTUAL DOOR MATS (No offence but its the truth). They believe anything they are told.
Mr know it all hata Academic humility hawana.
Sasa waanzishe thread unaweza ukalia au ukaishia kucheka.
Simply these are the Darkest Hours for Jamiiforums hasa kwa wale wadau wakubwa tangu miaka nenda rudi.
Inaendelea........

Last edited by a moderator: