JamiiForums senior bachelors

Yaani wewe mwanamke umeniona mimi mfupi hivyo ??
mshana jr kama hunijui
eti sister Khantwe hunijui ??

Hahahaa nlikuwa nakusubiria uje uthibitishe mwenyewe maana huenda kuna mahali ulijitambulisha kwa picha hiyo nisije nikaunguza picha na nega yake
 
Last edited by a moderator:

nina urefu wa kutosha kwenda juu na kwenda chini

cc Heaven on Earth
 
cc @ heaven on earth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…