Jamiiforums raha tupu yani,

Jamiiforums raha tupu yani,

Mkolakumwezi

Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
34
Reaction score
2
Ni mkongwe humu Jf ila nmeamua nishiriki kwa dhati sasa,aaaaah bandugu nikaribisheni basiiir
 
Penye moshi, hapakosekani moto!
JF ni raha na machungu pia. Anyway unakaribishwa tena mkuu.
 
Ukimuona nyani mzee ujue kakwepa mishale mingi.................................Karibu sana mkuu ila usisahahu kushiriki kikamilifu.
 
ngoja nipite zangu tu hapa nmepotea khaaaaa
 
Halafu haya mambo ya kusema mi mkongwe inabidi iangaliwe kwa jicho la tatu.
 
Welcome to the ground of the great thinkers
 
Ukimuona nyani mzee ujue kakwepa mishale mingi.................................Karibu sana mkuu ila usisahahu kushiriki kikamilifu.
Tupo pamoja sana kiongozi na maoni yako yamezingatiwa
 
Back
Top Bottom