Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,777
- 42,922
Developer rudini ile ya mwanzo.. ile ilikuwa inakupa option kibao na rahisi ila hii kidogo haijakaa vizuri kwa mtazamo wangu.
ww wa wapi.. hii ya sasa ndio ya ukweli mbna unatuharbia uhondo.kama vp login kwa browser