Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Ikiwa ni mwaka kamili hadi pale tutakapompata rais mpya, tassisi ya TWAWEZA ilitoa ripoti ambayo wengi hawakukuliana nayo. Nasi kama raia ambao wanapenda ukweli, sinabudi kuanzisha huu uzi kuangalia ukweli kwamba uchaguzi ukiitishwa leo kati ya Dr. Slaa, Edward Lowassa, Mizengo Pinda na Samwel Sitta nani atashinda?
Tafadhalini kila mwanajukwaa aliyesajiliwa apige Kura tujue mbivu na mbichi wa TWAWEZA
Tafadhalini kila mwanajukwaa aliyesajiliwa apige Kura tujue mbivu na mbichi wa TWAWEZA