Jamiiforums league

Mhe. The Boss
Ndio baadhi ya Mijiafrika ilivyo yenyewe inajifikiria kuwa very special kuliko watu wengine. Nina jambo kuhusu yeye "Bluray" ila kwakuwa naheshimu maadili ya jamii ya Watanzania wenye hekima na busara zao walio member na wasiokuwa member wa JF nimemsitiri sana kwa leo. Kwa maneno mafupi tu huyu "Bluray" yuko kwenye kundi la WAKAGASIKO na WASAGAKIKO na sio makosa yake ila ni makosa ya.................................!!!
 
ni league ya kugombea nini hii Mbuzi au?
Ni league ya kuonyesha kuwa wewe mwanJF zaidi ya kukaa kwenye keyboard unajua mchezo gani na unatakiwa ushiriki kwa kupitia vidole vyako kwa kuonyesha kuwa kweli wewe ulishacheza au bado unacheza mchezo huo
 
Mkuu hiyo red hiyo! Lol!
 
Haya kaka nimekoma sirudii tena unajua tena vidole vimezoea majukumu yake kwahiyo ni vigumu kuvizua kama ujuavyo mazoea yana tabu. Salute Chief

Kaka nasisitiza, hiyo red hiyo! Ohooooo!
 
Team A

Team F
  • Mwanafalsafa1
  • PakaJimmy
  • GudBoy
  • Kigogo
  • Bongolander
  • Mndee
  • Kilema
  • Zhule
  • Shamu
  • YegoMasika
  • SteveD

Substitute
  • Semenya
  • Mpenzi wa Islam
  • Cesc
  • Boney
  • K4Jolly
Kocha: Ronaldinho

Woow...
Mkuu, du...!nASHUKURU HATA UMENIPANGA HAPA!!
Sijawahi hata kuingia timu ya mchangani! Ngoja nipigepige tizi ..
 
Nimetoka kupasha wiki nzima unajua Safari zilikimbilia miguuni
Kaka sema ukweli ni kwenye miguu peke yake au na kwenye zipu pia? Ndio maana ulivyorudi kiwanjani magoti ya kawa yanagongana Mkuu. By the way issue vipi umekuwa adimu sana Mkuu
 
Hahahaha! Binamu nimeipenda avatar yako.

haaa, binamu nashukuru, kama kweli umeipenda dondosha thanx basi!!, ujue tangu JF ikorofishe juzkati thanks zetu zooooote zimepotea, unahabari hiyo binamu??
 
haaa, binamu nashukuru, kama kweli umeipenda dondosha thanx basi!!, ujue tangu JF ikorofishe juzkati thanks zetu zooooote zimepotea, unahabari hiyo binamu??

Lol! Kweli binamu. Tu thanks tumekuwa kiduchu sana. Jamaa wanatuonea gere nini? Leo mpwa Geoff naona katingwa. Hahaha! Shemeji yangu yule.
 
Lol! Kweli binamu. Tu thanks tumekuwa kiduchu sana. Jamaa wanatuonea gere nini? Leo mpwa Geoff naona katingwa. Hahaha! Shemeji yangu yule.

means nani anachukua dada wa mwenzake???
 
Kikosi hiki kimeingia raundi ya pili moja kwa moja. Kitapambana na timu C
Geoff
Nguli
Belo
Ndahani
Katabazi
Yo Yo
Chrispin
MTM
Superman
Nyamizi
Crashwise

Substitute
Preacher
Katavi
Carmel
Mwana va Mutwa

Kocha: Ndege ya Uchumi
Ngoja tuone kweli wanajua michezo au waliingia kwa geti dogo raundi ya pili. Zawadi zitatangazwa muda mfupi ujao kwahiyo wale wote waliotaka kujua wawe na subira ila kwenye game wasiruke ukuta walipe kiingilio halali:eek:
 
Back
Top Bottom