Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
Asante nishapoaVizuri, pole sana
Wewe niite tu Rashid tukiwa tunamsubiria mama YakoHii imetokea wapiπ
ππWewe niite tu Rashid tukiwa tunamsubiria mama Yako
Njoo na ID Yako ya zamaniπalparslan kwenye moja na mbili,,,, ngoj niweke kituo hapa
π€£π€£kama wew tu em njoo na ile ID yako πNjoo na ID Yako ya zamaniπ
Naijua hiyoππ€£π€£kama wew tu em njoo na ile ID yako π
Hujawahi kumiliki akiliππMajivuno mda mwingn hayafai,jamaa mmoja alipanda daladala kidogo sim ikaita akaitoa mfukon alipoangalia akaona mke wake ndo anapiga,jamaa kwa kutaka kujionyesha akapokea cm na kuweka loud speaker akiwa na abiria wenzake, jamaa akauliza mke wangu muda huu umenimiss au tatizo nini nambie bac baby,mke akajibu sijakumiss nataka kujua kwa nini umevaa chupi ya mtoto? abiria walicheka mpaka kulaliana
Acha majivuno kwenye halaiki ya watu wengi mkuuHujawahi kumiliki akiliππ
HayaπAcha majivuno kwenye halaiki ya watu wengi mkuu
Hizo fremu zingine,,,,ππππππ
Matapeli haoWhat is this