Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,122
Wa ile mbuzi ya wakatoliki tu sisi wa mwezi mtukufu hatugusi kabisa hata Katavi
anafahamu hili japo kule kwetu tunapishana nao mtaani kama binadamu.
Binadamu wachache siku hizi watu ndio wengi.
Wa ile mbuzi ya wakatoliki tu sisi wa mwezi mtukufu hatugusi kabisa hata Katavi
anafahamu hili japo kule kwetu tunapishana nao mtaani kama binadamu.
Wa ile mbuzi ya wakatoliki tu sisi wa mwezi mtukufu hatugusi kabisa hata Katavi
anafahamu hili japo kule kwetu tunapishana nao mtaani kama binadamu.
Binadamu tu?
Sisi tunapishana nao kama upepo wa pwani.
pwani hapakosi beach
Ushuru kila sehemu hadi sehemu za kupumzika lazima ulipie.Beach ilikuwa zamani siku hizi beach zote wamegawiana huwezi kuingia tena
beach hata ukiwa na harusi yako, kila mahali unalipia ushuru.
Beach ilikuwa zamani siku hizi beach zote wamegawiana huwezi kuingia tena
beach hata ukiwa na harusi yako, kila mahali unalipia ushuru.
unalipia ushuru? utalipaje ushuru wakati nchi ni yako!
yule mama nanihii wa arizi si alisema atatwaa beach zote?
unalipia ushuru? utalipaje ushuru wakati nchi ni yako!
yule mama nanihii wa arizi si alisema atatwaa beach zote?
Kiholela holela Tz.Wenzetu Venezuela wanajenga safi na wanaingiza fedha
Fedha zenyewe hata zikiingia zinaishia kwenye mifuko yao kwani tutaambulia nini.
nini kinacho kufanya ulalamike?
Ulalamike au ufurahi?
ufurahie nini wakati ni uzuni tupu?
tupu na utupu ni sawa?...
Sawa sawa kabisa jambo lililozungumzwa na wachangiaji waliopita lina mantiki..
Mantiki mantiki......wala hakuna mantiki yoyote ni chitchat tu.
tu times tu iz iko tu foo.
Foo? Umekosa, tu times tu is iko tu 2tu.
Foo? Umekosa, tu times tu is iko tu 2tu.