Unacho takiwa kufanya unaingia kwenye app store ikisha kubal unaingia kwenye Sachi kisha unaandika Whatsap utaletewa baada yah apo Utai download nakuanza kutumia Kwan hata mm natumia iphone 4
Mkuu, ni kuwa tumeongeza viunganishi vya JF katika iPad na iPhone/iPod Touch ambavyo vinamrahisishia mtumiaji wa vifaa hivi kuifikia JF kirahisi zaidi.
Palipoandikwa 'Click here' na pana rangi ya bluu, pana kiunganishi (link) cha kukupeleka ambapo utaweza kupakua viunganishi hivi ambavyo ni vya BURE.
Nimeeleweka?
Hivi we jamaa kwanini huwa unang'ang'ania kujieleza kwa lugha ambayo inakushinda mwanzo mwisho. Yaani umeshindwa kuandika ''JF releases Ipad and Iphone touch apps for its members,'' badala yake unajikanyaga hadi unaandika vitu visivyosomeka. Ukiulizwa hiyo verb phrase yako ''is now released'' iko kwenye kundi gani la tenses utajibu nini? Halafu hiyo habari yenyewe ndiyo inaweza ikamfanya mtu akaugua kabisa akimaliza kukisoma hicho kiingereza mvurugano.
One doesn't need to be a grammar savvy to point out a countless number of glaring syntax flaws in the Invisible's writing. You have asked me to put forth the correction for his group of nauseous fractured English phrases and irritating faulty clauses. Here I go: JF is pleased to announce it has launched the long-awaited iPad and iPhone touch apps. The apps, expected to ease the accessibility of JF to the Forum members, can now be downloaded for free at www.jamiiforums.com. It is our hope that you would find them enjoyable and useful. Should you have any positive or negative feedback, feel free at any time to let us know.
Thank you!
Hahahahahaha hapo umemshika mtu nyeti
tena kwa plaiz
lo!kwani nyeti zote hushikwa kwa plaiz!
Angalia sentings alafu uende configaration alafu uchague personal configuration au tuma nene INTERNET NOKIA 6030 KWENDA 15300. alafu uta pokea konfiguratio setting kutoka VODACOM . AU TUMIA emal. johnbosco851@gmail.com. kwa mawasiliano