JamiiForums' FREE iPad & iPhone/iPod Touch app is now released

Status
Not open for further replies.
@Invisible Ahsante mkuu kwa kutujali wanaJF,

Mkuu, mimi nina matatizo na lugha zenu hizi za iPod/iphone n.k. yaani sizielewi. Kwa sasa nina ka-hand set ka HP na model ID yake ni iPAQ Data Messenger, je. na haka ka-gadget kanafaulu kutumia hizo "apps" ulizozitaja? Na ni aina gani ya app kanatatumia ikiwa katafaulu?

Cheers!
 
Khaa Thanx to JF na Mimi nimeweza kudownload application ya JF katika I pad kweli maendeleo ni watu na watu ndo sisi
 

Inapendeza kuona mnaweza kufanyia kazi maoni ya wadau. Great job.
 

Mkuu mimi nilifikiri hii issue inajulikana na wana member wengine, kwa sababu hii application nimekuwa nikiitumia kwenye iphone 4 kwa miezi miwili sasa
 
Mkuu mimi nilifikiri hii issue inajulikana na wana member wengine, kwa sababu hii application nimekuwa nikiitumia kwenye iphone 4 kwa miezi miwili sasa
Please DELETE the old app, kuna mpya! Ya zamani tuliifuta kabisa na kuanza upya
 
ahsante sana mkuu,
Mkuu sisi wenye iPhone za 1St generation 2g inatakiwa tu upgrade kwenda 4.0 + tufanyeje kuweka hizo 4.0+ software ?
 
hongera sana kwa timu yoteya jamiiforums.

nimeshainstalll hio app and its brilliant.

sent from my iPad
 

Mimi nilianza kuitumia muda kidogo lakini ikaanza matatizo ya connection. Hainiruhusu tena kulog in, kila nikijaribu inaniambia "the site administrator has disabled access from mobile devices." Tatizo ni nini?
 
Mimi nilianza kuitumia muda kidogo lakini ikaanza matatizo ya connection. Hainiruhusu tena kulog in, kila nikijaribu inaniambia "the site administrator has disabled access from mobile devices." Tatizo ni nini?
Reboot your device
 
Sie tulio kwenye blackberry hatuwezi ipata kwenye Blackberry Apps World? Naamini kama Apple imewezekana Blackberry haiwezi shindikana.
Invisible fanya makeke.
 
Wakuu hii app kuna wakati naona inachelewa sana kuload, iphone 4s
 
Ubarikiwe mkuu Invisible kwakwenda na wakati maana technologia hii inabadilika kila kukicha.
 
Natumiaga hayo ma android lakini kitu mbona hakikubali hata kuonyesha hiyo link ya hako ka APP jamani saidieni mimi napata shida sana kutumia...
 
Aisee wakubwa naombeni msaadami najaribu kuitumia kwenye iPad inanisumbua kweli kweli maranyingi haifunguki........ Any1 with similarproblem?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…