Kwa baadhi ya watu, automatically itaji-update (kulingana na settings za simu/tablets zao) na wengine watatakiwa ku-update manually. Yes, tumerekebisha yale yaloombwa kurekebishwa japo tayari mengine yashaanza kupendekezwa.
Username hadi utume PM kuomba ubadishiwe ukiwa umeambatanisha na jina jipya.
Tukiacha mbadili wenyewe, wengine utakuta leo anajiita "kinabo" kesho anajiita "Mze Mwanakijiji" (hapo katoe 'e' tu) na keshokutwa "Kiranga Original" na mwezi ujao "Ritz3".
Utaratibu wa sasa (kuwa lazima uwasiliane nasi), unaepusha mikanganyo.
Kwa baadhi ya watu, automatically itaji-update (kulingana na settings za simu/tablets zao) na wengine watatakiwa ku-update manually. Yes, tumerekebisha yale yaloombwa kurekebishwa japo tayari mengine yashaanza kupendekezwa.
Mentioning haizuiliki ila notifications tumeshalifanyia kazi. Tutaweka kwenye market soon baada ya kujiridhisha kuwa inafaa kuwa final product kutumiwa na wateja.
Mentioning haizuiliki ila notifications tumeshalifanyia kazi. Tutaweka kwenye market soon baada ya kujiridhisha kuwa inafaa kuwa final product kutumiwa na wateja.
Hivi mkuu je App ya JF inaweza kuboreshwa kwa kuwa na plug in yenye kuleta Alerts za New Notifications...yaani kuwe na kitu kama pop ups hivi kama ilivyo kwa hivi Mobile IM's mathalani Whatsapp, Y!, Viber etc?