Kwa baadhi ya watu, automatically itaji-update (kulingana na settings za simu/tablets zao) na wengine watatakiwa ku-update manually. Yes, tumerekebisha yale yaloombwa kurekebishwa japo tayari mengine yashaanza kupendekezwa.Je kuna update yake?
Thanks.Invisible good job, sema Vipi kuweza kuchange user names?
That's among the fixed bugs.Asanteni sana wakuu. I hope ile kitu ya application kustop kila mara haitakuwepo tena.
Barikiweni hadi mshangae
Kwa baadhi ya watu, automatically itaji-update (kulingana na settings za simu/tablets zao) na wengine watatakiwa ku-update manually. Yes, tumerekebisha yale yaloombwa kurekebishwa japo tayari mengine yashaanza kupendekezwa.
Asante
Je kuna update yake?
Mkuu,mkuu invisible tinaomba tuwekee link tuingie moja kwa moja, natumia Samsung galaxy mpaka nitumie opera mini ndio naingia jf kwa madaha. ni hayo tu.
Mkuu,
Kwenye Google Play; search for JamiiForums
Ni hivo tu!
Kwa sasa nimeipenda iko faster sana pongezi kwenu.
Ila tu bado Notification.....😕😕
Nadhani unamaanisha alichosema idawa.nimeipenda aise.,ila wajitahdi iwe na uwezo wakumention
Nadhani unamaanisha alichosema idawa.
Mentioning haizuiliki ila notifications tumeshalifanyia kazi. Tutaweka kwenye market soon baada ya kujiridhisha kuwa inafaa kuwa final product kutumiwa na wateja.