Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,637
- 7,920
Hizo ni nchi na wanatokea watu wa aina nyingi. Iran na Oman zina watu walioingiliana na Oman ishawahi kutawaliwa au kuwa chini ya Persian empire kwa muda mrefu. Pia Oman ina watu wenye asili ya kutoka Saud na Yemen na waafrica. Wote hao kwa ujumla ni milioni 2 tu. Kwa hiyo majority siyo majority kihivyo.Mkuu kwani Oman na Iran wanatokea watu gani?