jamii ya Chuki na kibaguzi have killed my mother

Bila kuhoji ;pole sana najua maumivu uliyo nayo mungu akushindie katika hili .ushauli wangu kama una ndugu wahamishie mjini mambo hayo ya ubaguzi hayapo sana kama vijijini.
Na haya hufanywa na watu wanao shindwa ktk maisha wakifikili kuwa pengine riziki yao imenyang"anywa na mwingine.
Hata vijijini ukiwa msomi pekeyako unaweza kulogwa.
Yoteyayote ni wivu pengine familia yenu iko vizuli kimaisha.pole sana prof
 
i can feel d pain pole sana prof Muombe sana Mungu akutie nguvu katika wakati huu mgumu na kama serikali imeshindwa kuwasaidia nafikiri mfanye mpango wakuhama huko ngara maana t seems watu wa huko bado wana ukabila na ubaguzi..
 
Back
Top Bottom