Sasa unaguna nini kiongozi.. Kutoa ni moyoMhh!
Sio huko babati.. Hapa dsm.. Ukihitaji malaZi tuwasiliane.. Ila kama kweli una shida basi ungewek namba yako ya tigo pesa au m pesa hapo kwenye bandiko lako...Ipo mkuu
Ni kweli rafiki hata mm sikujua kama wataniita mana adress zangu kwenye Cv zinazoonyesha nipo moshi,sehemu ya kulala unayo?
Ila kwenye tangazo ni kama walisema kuwa ni kwa watu waliopo dsm tu?
Habari mda huu wanajamvi.
Dakika 55 zilizopita nimepigiwa simu ya kuitwa kwenye interview ya jamii media itakayofanyika tarehe 1, march ofisi za jamii media mikocheni.
Dhumuni la kuandika uzi huu ni kuomba mchango wa nauli kwa wanajf wenzangu. Mim nipo huku babati nauli ya kutoka manyara to Dar ni kama 70 elfu kwenda na kurudi.
Nataka nije kujaribu bahati yangu, msaada wenu tafadhali aliye tayari nitaPM namba yangu. shukurani
Ni kweli rafiki hata mm sikujua kama wataniita mana adress zangu kwenye Cv zinazoonyesha nipo moshi,
Nashukuru wameniita ila nimepigiwa simu nikiwa nje ya moshi, nipo manyara sasa kipato changu hakita niwezesha kurudi nyumbani kesho na jumatatu kuamsha Dar. ndo maana naomba donation kidogo
Kama una nauli ya kuja njoo, fanya interview nitakusaidia ya kurudiutanyonya wewe ukicheza, sitaweza kuja tena nimekwama
Kama una nauli ya kuja njoo, fanya interview nitakusaidia ya kurudi
utanyonya wewe ukicheza, sitaweza kuja tena nimekwama
utanyonya wewe ukicheza, sitaweza kuja tena nimekwama
naomba nikucheke kwanza hahahahahah! alafu nikuulize na wew umeitwa kwenye hii interview?
Sawa, karibuHapana sisi wa mikoani nilitakiwa niwe kwenye basi leo, kuja ni ngumu.
asante kwa moyo wako wa huruma