JAMII MEDIA VACANCY - Marketing and PR Coordinator

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
4,814
1,523
VACANCY – Marketing and PR Coordinator

ABOUT JAMII MEDIA

Jamii Media is an online Media company, which hosts the most popular website in the region - JamiiForums (JamiiForums.com) and FikraPevu (FikraPevu.com) which is an online news portal.

JAMII MEDIA PRODUCTS

JamiiForums

· Has more than 3,400,000 monthly visits

· It is the world-leading site of Swahili content.

· It is a User Generated Content site.

· Has over 34million page-views each month

· Have over 2 Million followers on out social media outlets.

· It gets 40,000 – 50,000 posts daily (On various topics).

· It is an archive, which holds abundant news, issues and events of more than 10 years old.

FikraPevu

An online portal news portal with reliable, credible and quality content with articles for Public Interest Journalism on Health, Politics, Sports, Business and Analysis.

Vision:

· To build a place where people share their voices and attain the ability to engage, entertain and inform.

Mission:

· Offer a portal for citizens to give their own views and champion freedom of speech and transparency.

· Develop Skills and Marketable expertise for Sustainable Company's Revenue.

· Offer Mentorship and Training on Online Media.

· Offer In-depth Swahili Content and analysis of Current Affairs.

ABOUT THE POST

Jamii Media has a vacancy for a marketing and PR Coordinator who will be responsible for developing marketing campaigns to promote a product, service or idea. The officer will also be dealing with planning, advertising, public relations, event organization, sponsorship and research. The post is based in Dar es Salaam.

Qualifications, Experience & Skills

§ Aged 25 years and above.

§ Bachelor's degree. (Preferably in Education, Mass Communication, Journalism or related field)

§ Minimum 1 year of membership on JamiiForums.

§ Very good command of English and Swahili languages; English proofreading is a plus.

§ Previous experience in a similar marketing role.

§ Ideally a degree in marketing and some experience in the field.

Essential Duties

§ Communicating with target audiences and managing customer relationships with our Customer Care Officer.

§ Sourcing advertising opportunities and placing adverts in the Company’s website and social media outlets.

§ Managing the production of marketing materials, including leaflets, posters, and flyers.

§ Conducting market research, for example using customer questionnaires and focus groups.

§ Evaluating marketing campaigns and contributing to, and developing, marketing plans and strategies.

Interested applicants should send their CVs to vacancies@jamiiforums.com

How to apply
Send your application email with CV to vacancies@jamiiforums.com and write the vacancy title in the subject line of the email by 15th of February.

cleardot.gif

VACANCY – Marketing and PR Coordinator

ABOUT JAMII MEDIA

Jamii Media is an online Media company, which hosts the most popular website in the region - JamiiForums (JamiiForums.com) and FikraPevu (FikraPevu.com) which is an online news portal.

JAMII MEDIA PRODUCTS

JamiiForums

· Has more than 3,400,000 monthly visits

· It is the world-leading site of Swahili content.

· It is a User Generated Content site.

· Has over 34million page-views each month

· Have over 2 Million followers on out social media outlets.

· It gets 40,000 – 50,000 posts daily (On various topics).

· It is an archive, which holds abundant news, issues and events of more than 10 years old.

FikraPevu

An online portal news portal with reliable, credible and quality content with articles for Public Interest Journalism on Health, Politics, Sports, Business and Analysis.

Vision:

· To build a place where people share their voices and attain the ability to engage, entertain and inform.

Mission:

· Offer a portal for citizens to give their own views and champion freedom of speech and transparency.

· Develop Skills and Marketable expertise for Sustainable Company's Revenue.

· Offer Mentorship and Training on Online Media.

· Offer In-depth Swahili Content and analysis of Current Affairs.

ABOUT THE POST

Jamii Media has a vacancy for a marketing and PR Coordinator who will be responsible for developing marketing campaigns to promote a product, service or idea. The officer will also be dealing with planning, advertising, public relations, event organization, sponsorship and research. .

Qualifications, Experience & Skills

§ Aged 25 years and above.

§ Bachelor's degree. (Preferably in Education, Mass Communication, Journalism or related field)

§ Minimum 1 year of membership on JamiiForums.

§ Very good command of English and Swahili languages; English proofreading is a plus.

§ Previous experience in a similar marketing role.

§ Ideally a degree in marketing and some experience in the field.

Essential Duties

§ Communicating with target audiences and managing customer relationships with our Customer Care Officer.

§ Sourcing advertising opportunities and placing adverts in the Company’s website and social media outlets.

§ Managing the production of marketing materials, including leaflets, posters, and flyers.

§ Conducting market research, for example using customer questionnaires and focus groups.

§ Evaluating marketing campaigns and contributing to, and developing, marketing plans and strategies.

Interested applicants should send their CVs to vacancies@jamiiforums.com

How to apply
Send your application email with CV to vacancies@jamiiforums.com and write the vacancy title in the subject line of the email by 15th of February.

cleardot.gif

Akhsante Kwa TAARIFA Japo Naomba Kujulishwa Kwani Kuna Sehemu Mmeandika Mnataka Mwombaji Lazima Awe Member Wa JF Humu Kwa Angalau Mwaka Mmoja. Sasa Nauliza Je Mtajuaje Kuwa Mimi Ni Member Humu JF? Na Je Mnataka Mwombaji AJITAJE ( AJIPELEKE KIBRA / MACHINJIONI ) Kwa Kutaja ID Yake au? Kidogo Hapo MNATUPA UKAKASI Kwani Kuna Wengine Hicho KIPENGELE Kinawakatisha TAMAA Hasa Ukizingatia Na Aina Yao Ya UCHANGIAJI Humu Ambao Muda Mwingine Unagusa Mambo au Masuala NYETI. Nitashukuru MKINIJIBU.
 
Hahahaha mkuu GENTAMYCINE

Kwanza kwa haraka tu wewe utakua ni Disqulified uliyetukukaa

Na ukiwatumia CV's yako tu wakajua jina lako kesho yake utaitwa mahakamani kujibu mashtaka 137 yanayokukabili
 
Akhsante Kwa TAARIFA Japo Naomba Kujulishwa Kwani Kuna Sehemu Mmeandika Mnataka Mwombaji Lazima Awe Member Wa JF Humu Kwa Angalau Mwaka Mmoja. Sasa Nauliza Je Mtajuaje Kuwa Mimi Ni Member Humu JF? Na Je Mnataka Mwombaji AJITAJE ( AJIPELEKE KIBRA / MACHINJIONI ) Kwa Kutaja ID Yake au? Kidogo Hapo MNATUPA UKAKASI Kwani Kuna Wengine Hicho KIPENGELE Kinawakatisha TAMAA Hasa Ukizingatia Na Aina Yao Ya UCHANGIAJI Humu Ambao Muda Mwingine Unagusa Mambo au Masuala NYETI. Nitashukuru MKINIJIBU.
kama unaogopa kisa ID hufai.
 
Yaani nilitaka kukuitia shavu hili kumbe umeshafika
 
Halafu Oya Wewe Mbona SIKUELEWI? Asubuhi Mpaka Jioni Tupo Pamoja Humu JF Tena Kutwa Halafu Usiku Huu Tena Bado Uko Hewani KULIKONI? au Huko TANZANIA Kwenu Umepewa KAZI MAALUM Ya KUMFUATILIA MNYARWANDA Wa Kitutsi? Huchoki Kula Sahani Moja Nami Humu? Hebu Kapumzike Basi Watu TUFANYE YETU HUMU Na Kesho Ukiamka UTAYAKUTA. Waambie Hapo " Eagle Wing House " Wakuongezee MSHAHARA Na Uwe PROMOTED Kwani KAZI UNAIWEZA KUNAKOTUKUKA.
Haha hiyo Eagle wing House ndio kitu gani ?? Naona unapenda kuitaja ,ni nyumba wanayoishi mwewe au
 
Mkuu Gentamycine,

Unaomba kwa kutumia jina lako halisi, huna haja ya kutaja ID unayotumia JamiiForums, kuna maswali madogo na mepesi ambayo ukimuuliza member yeyote yule wa JamiiForums ataweza kujibu kwa kiasi kikubwa, hivyo katika interview unapimwa kwa majibu yako endapo wewe ni member ama lah!

Usikate tamaa mkuu, apply kama una vigezo. Msingi wetu wa Jukwaa ni member awe huru kutumia jina liwe ni la uficho (anonymous) ama liwe halisi.

Kumradhi kwa kuchelewa majibu kwa suala ambalo umelianisha hapa.

Jamii Jobs

Akhsante Kwa TAARIFA Japo Naomba Kujulishwa Kwani Kuna Sehemu Mmeandika Mnataka Mwombaji Lazima Awe Member Wa JF Humu Kwa Angalau Mwaka Mmoja. Sasa Nauliza Je Mtajuaje Kuwa Mimi Ni Member Humu JF? Na Je Mnataka Mwombaji AJITAJE ( AJIPELEKE KIBRA / MACHINJIONI ) Kwa Kutaja ID Yake au? Kidogo Hapo MNATUPA UKAKASI Kwani Kuna Wengine Hicho KIPENGELE Kinawakatisha TAMAA Hasa Ukizingatia Na Aina Yao Ya UCHANGIAJI Humu Ambao Muda Mwingine Unagusa Mambo au Masuala NYETI. Nitashukuru MKINIJIBU.
 
Mkuu Gentamycine,

Unaomba kwa kutumia jina lako halisi, huna haja ya kutaja ID unayotumia JamiiForums, kuna maswali madogo na mepesi ambayo ukimuuliza member yeyote yule wa JamiiForums ataweza kujibu kwa kiasi kikubwa, hivyo katika interview unapimwa kwa majibu yako endapo wewe ni member ama lah!

Usikate tamaa mkuu, apply kama una vigezo. Msingi wetu wa Jukwaa ni member awe huru kutumia jina liwe ni la uficho (anonymous) ama liwe halisi.

Kumradhi kwa kuchelewa majibu kwa suala ambalo umelianisha hapa.

Jamii Jobs

Sasa Mbona Nimeshatuma Muda Mrefu Na Hamjaniita Kwa Interview Kisha Mniulize Maswali Yenu Nianze Kazi Rasmi Hapo JAMII MEDIA? Hiyo Nafasi Inanifaa Kunakotukuka Mkuu.
 
Mkuu,

Kuna nafasi kadhaa tunatangaza (Kuna nyingine imetangazwa leo). Interview zitafanywa kwa pamoja. Naomba uwe mvumilivu, endapo umekidhi vigezo utaitwa tu kwa ajili ya interview.

Sasa Mbona Nimeshatuma Muda Mrefu Na Hamjaniita Kwa Interview Kisha Mniulize Maswali Yenu Nianze Kazi Rasmi Hapo JAMII MEDIA? Hiyo Nafasi Inanifaa Kunakotukuka Mkuu.
 
Naomba mnotify unsuccessful hata kwa email
Mshahara (Take home) ni shs ngap?
Mkuu Gentamycine,

Unaomba kwa kutumia jina lako halisi, huna haja ya kutaja ID unayotumia JamiiForums, kuna maswali madogo na mepesi ambayo ukimuuliza member yeyote yule wa JamiiForums ataweza kujibu kwa kiasi kikubwa, hivyo katika interview unapimwa kwa majibu yako endapo wewe ni member ama lah!

Usikate tamaa mkuu, apply kama una vigezo. Msingi wetu wa Jukwaa ni member awe huru kutumia jina liwe ni la uficho (anonymous) ama liwe halisi.

Kumradhi kwa kuchelewa majibu kwa suala ambalo umelianisha hapa.

Jamii Jobs
 
Jamii Jobs watuambie take home ni sh ngapi?

maana JF sasa ni moja wapo ya largest Media houses in East Africa na wanapata a lot of revenue kupitia Ads.

Kama mshahara ni atleast 3,000,000 nitakuwa motivated kuapply. Chini ya hapo itakuwa ni exploitation.
 
Mkuu Hizi Sifuri Zako Sita Hapo Ni Typing Error Tu au Umedhamiria? Kama Ni Kweli Basi Ngoja Nianze Kuitafuta Bagamoyo Mkoa Wa Pwani Na Kwa Msisi Mkoa Wa Tanga Sasa Hivi.
 
Jamii Jobs watuambie take home ni sh ngapi?

maana JF sasa ni moja wapo ya largest Media houses in East Africa na wanapata a lot of revenue kupitia Ads.

Kama mshahara ni atleast 3,000,000 nitakuwa motivated kuapply. Chini ya hapo itakuwa ni exploitation.
Acha nikae kimya looh, makubwa leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom