Jamii vacancy: Marketing & PR coordinator

lolypop

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
2,430
1,681
Habari mda huu wanajamvi.
Dakika 55 zilizopita nimepigiwa simu ya kuitwa kwenye interview ya jamii media itakayofanyika tarehe 1, march ofisi za jamii media mikocheni.
Dhumuni la kuandika uzi huu ni kuomba mchango wa nauli kwa wanajf wenzangu. Mim nipo huku babati nauli ya kutoka manyara to Dar ni kama 70 elfu kwenda na kurudi.
Nataka nije kujaribu bahati yangu, msaada wenu tafadhali aliye tayari nitaPM namba yangu. shukurani
 
Sio huko babati.. Hapa dsm.. Ukihitaji malaZi tuwasiliane.. Ila kama kweli una shida basi ungewek namba yako ya tigo pesa au m pesa hapo kwenye bandiko lako...
Mimi nitakuwa mmoja wa watakaokuchangia
 
sehemu ya kulala unayo?
Ila kwenye tangazo ni kama walisema kuwa ni kwa watu waliopo dsm tu?
Ni kweli rafiki hata mm sikujua kama wataniita mana adress zangu kwenye Cv zinazoonyesha nipo moshi,
Nashukuru wameniita ila nimepigiwa simu nikiwa nje ya moshi, nipo manyara sasa kipato changu hakita niwezesha kurudi nyumbani kesho na jumatatu kuamsha Dar. ndo maana naomba donation kidogo
 
Habari mda huu wanajamvi.
Dakika 55 zilizopita nimepigiwa simu ya kuitwa kwenye interview ya jamii media itakayofanyika tarehe 1, march ofisi za jamii media mikocheni.
Dhumuni la kuandika uzi huu ni kuomba mchango wa nauli kwa wanajf wenzangu. Mim nipo huku babati nauli ya kutoka manyara to Dar ni kama 70 elfu kwenda na kurudi.
Nataka nije kujaribu bahati yangu, msaada wenu tafadhali aliye tayari nitaPM namba yangu. shukurani

Hiyo Picha Yako Ya AVATAR Inaonekana Unajua Mno KUNYONYA PIPI Hivyo Ninaamini Sasa Hivi Tu Utawapata WADHAMINI Na WATAKULETA Dar. Nimependa Sana Huo MDOMO Na Jinsi Hiyo PIPI Huko Kulikotuna KUNAVYOINGIA.
 
Ni kweli rafiki hata mm sikujua kama wataniita mana adress zangu kwenye Cv zinazoonyesha nipo moshi,
Nashukuru wameniita ila nimepigiwa simu nikiwa nje ya moshi, nipo manyara sasa kipato changu hakita niwezesha kurudi nyumbani kesho na jumatatu kuamsha Dar. ndo maana naomba donation kidogo

Unaweza Kunyonya Vizuri " Lollipop " Nikutumie Nauli Sasa Hivi?
 
Hiyo Picha Yako Ya AVATAR Inaonekana Unajua Mno KUNYONYA PIPI Hivyo Ninaamini Sasa Hivi Tu Utawapata WADHAMINI Na WATAKULETA Dar. Nimependa Sana Huo MDOMO Na Jinsi Hiyo PIPI Huko Kulikotuna KUNAVYOINGIA.
Karibu sana
 
Bahati Yako! Ungenyonya Sana Na KUNAKOTUKUKA " Lollipops " Za Wanyamwezi Wa Jiji La Mecky Sadick. Vizuri Kwa " Kujiongeza ".
naomba nikucheke kwanza hahahahahah! alafu nikuulize na wew umeitwa kwenye hii interview?
 
utanyonya wewe ukicheza, sitaweza kuja tena nimekwama

Bahati Yako! Ungenyonya Sana Na KUNAKOTUKUKA " Lollipops " Za Wanyamwezi Wa Jiji La Mecky Sadick. Vizuri Kwa " Kujiongeza ".
naomba nikucheke kwanza hahahahahah! alafu nikuulize na wew umeitwa kwenye hii interview?

Nimesomea Engineering Kwa Masuala Yahusuyo NDEGE, MELI Na TRENI Tu.
 
Bahati Yako! Ungenyonya Sana Na KUNAKOTUKUKA " Lollipops " Za Wanyamwezi Wa Jiji La Mecky Sadick. Vizuri Kwa " Kujiongeza ".

Nimesomea Engineering Kwa Masuala Yahusuyo NDEGE, MELI Na TRENI Tu.
sio honda
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom