Voting have been done and JPlayer is the name. Now There are issues to be dealt before coding. One of them is licence. Since all have been planned here I though I would throw it here again.
What licence will better serve interest of this player? Is it GPL, LGPL, MIT, BSD, or should we coin our own?
Any suggestion with no reason will be ignored. You must say why do you think this license will server better than the rest!
Mimi nachagua iyo kwa sababu tangu mwanzo wa mchakato wa hii media player kama sijakosea lengo lake ni kutoa fursa kwa programmers wa tanzania kuonesha uwezo wao kwenye kutengeneza "real word software". kama hivyo ndivyo basi hii lisence niliyoichagua naona inafaa kwa sababu baada ya software kukamilika inaweza kusambazwa as a free open source software.. japo inaweza kutolewa kwa some amount lakkini mtu anakua na uwezo wa kumodify na kudistribute for free provided kwamba anacomply license vile vile credits zinaendelea kuwepo kwa wale programmers walioanza nayo from the scratch...
Ntarudi kutoa sababu lakini kwanza naomba niwarudishe nyuma. Tumechagua JamiiPlayer (JPlayer) lakini naomba tafadhali tafadhali tafadhali tubadili jina manake tayari kuna player inaitwa JPlayer ambayo nayo ni open source written in javascript ambayo licence yake ni GPL!!!!! jamani kwa sababu hii naomba tupige kura tena au tuchukue jina la pili lenye kura nyingi yaani (Kasuku).
nikisema halisound ntakuwa mnafuki manake hata mm nlivote jamii player. kama tukisema iwe jamiiplayer bila kifupisho tutakuwa tunajidanganya kwani itakuwa ni ngumu sana mtu kusema jamiiplayer badala ya Jplayer