Jamii itambue Changamoto za Mwanaume ndoani

Jamii itambue Changamoto za Mwanaume ndoani

Unalia lia nn wewe kata makofi tandika ngumi hakikisha haumii wala kufa onyesha ww ndio kidume akirudi kwao fata hukohuko kata makofi mbele ya wakwe mbebe mlete home paka mkongo hakikisha panawaka moto alafu uje utoe mrejesho hapa ndio mana tunasema wanaume mnapotea
Hahahaaaaaa,huu ushauri ni balaa
 
Acha kulialia tafuta hela, acha kutamani hela ya mwanamke, fanya kazi, fanya biashara, fanya ujasiriamali ili uweze kumudu na kuitunza familia yako. Muda ulioutumia kuandika yote haya ulipaswa kuutumia kutafuta hela.
tafuta hela wapi pesa inatafutwa kwa pesa kuna wengine tunatafuta pesa huoni kitu halafu hicho hicho kidogo ukipata mtu anakua hasomeki.
 
Acha kulialia tafuta hela, acha kutamani hela ya mwanamke, fanya kazi, fanya biashara, fanya ujasiriamali ili uweze kumudu na kuitunza familia yako. Muda ulioutumia kuandika yote haya ulipaswa kuutumia kutafuta hela.
Pesa sio kila kila kitu kwenye maisha
 
Unalia lia nn wewe kata makofi tandika ngumi hakikisha haumii wala kufa onyesha ww ndio kidume akirudi kwao fata hukohuko kata makofi mbele ya wakwe mbebe mlete home paka mkongo hakikisha panawaka moto alafu uje utoe mrejesho hapa ndio mana tunasema wanaume mnapotea
unachekesha huku unatafuta hela hiyo hiyo akili isolve ugomvi ,hiyo hiyo akili isolve kesi za mke.

hakuna amani kama mtu akikufanyia jambo kwa mapenzi yake yote hata kama unampiga na kumpa pesa kikubwa mambo yakutoelewana yakifika sheria zisiwe kwa mwanamke peke yake
 
Ndugu mwandishi naunga mkono hoja,yote uliyoyasema Yana kweli ndani yake,ifikie kipindi mwanaume naye aangaliwe Kwa jicho la huruma,na si kukandamizwa Tu.

Na Hicho kitendo cha kuwapa Sana fair wanawake kinawatia kiburi na kuwafanya wajione huru kufanya walitakalo,ifikie kipindi uwe usawa ktk kiyaendea haya maswala.

Ila kuhusu kumtunza mwanamke Hilo ni hukumu la mwanaume,hata katika Dini Hilo lipo wazi kabisa,lkn si kumtunza Kwa mambo ambayo sio ya msingi,hapo siku sikubaliani napo
 
umenielewa vizuri ila kuna sehemu nasisitiza Mwanaume wakati ana mtunza mke ikiwa mke anakipato kwa kujiajili au kuajiliwa lazima akisaidie

Jukumu la mwanamke katika ndoa ni msaidizi na sio mtumiaji.

kwa maana wakati unahudumia ikitokea na yeye ana kazi kwa kuajiriwa au kajiajili ana haki kusimama kama msaidizi na sio mtumiaji wa kile kinachopatikana kwa fujo au kujihalalisha pesa yake ni yake.
 
Nakubaliana na wewe kwasababu Kwa upande wa Dini ya kiislamu,sio kwamba imeweka Sheria mwanamke asisaidie laa,Ila akipenda aweza Saidia majukumu ya nyumbani.

Lakini hata Kwa uelewa wa kawaida kama kweli mke anampenda mume na kumjali atasaidia hapa na pale,lkn ukiona mke ana kaza Tu,basi hapo hakuna kuhurumiana
 
Unavyosema wanawaje wanaolewa sgida utadhani waoaji wenyewe ni ma bill gate...

Kumbe shida mbili tu zimekutana...sema moja ipo kwenye denial
 
Taasisi za haki za wanawake
Nyie nao mnapotosha zana ya kulinda haki ya mwanamke bila kutambua wajibu wa mke kwa mume, aasisi zinafundisha kuharibu kuliko kujenga na kutatua matatizo ya wanawake kwa mtazamo mmoja kiasi wamekua jeuri balaaa.

MATOKEO YA HIZI TAASISI:
1.Ongezeko kubwa la ndoa kuvunjika ,(na waathirika wakubwa ni wana ndoa, kisha watoto)
2.Ongezeko la singo maza (malezi ya mzazi mmoja sio salama na kamili, kataa kubali ndio hivyo hivyo)

ANGALIZO

KIMAUMBILE Muhitaji mkubwa wa ndoa ni mwanamke, mwanaume wa miaka 70 anaweza oa na kupata watoto, hivyo kuwa na kampani ya watu. Singo mama wa miaka 60 hawezi pata mume wala watoto.wengi umri huu wanakuwa na Mateso ya kihisia kwa kukosa kampani. na ukipata mtu basi uwe na uwezo wa kumtunza!
kwamba siku si nyingi, ili uwe na uwezo wa kuwa na mwanaume ni uwe na uwezo wa kumuhudumia.

"Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu" Isaya 4:1

mwanaume sio adui wa mwanamke​

Taasisi na wanaharakati wengi wanapotosha wanawake wengi, nao kwa ukosefu wa akili na maono, wana yapokea kichwa kichwa.​

Back
Top Bottom