Jamii itambue Changamoto za Mwanaume ndoani

simon2016

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2020
Posts
608
Reaction score
1,744
Habari za muda huu natumaini mko vyema mimi nina jambo naliona hembu tutafakari kama litawezekana kwa kusema haya

Jamii itambue wanawake wanaolewa kwa sababu ya shida tuu wengi wao kwa hizi siku lakini ndoani hawana mapenzi yoyote wasumbufu, wazinifu, wajeuri na wakizaa ndio hawatoi huduma za msingi kwa mwanaume .

Wajeuri kwa sababu ukisha muoa anajua ukivunja ndoa anaondoka na nusu ya mali.

Hawataki kufanya kazi za nyumbani kimsingi mwanamke ni msaidizi kwa mwanaume

.... Haiwezekani mke ana kazi lakini bado anakubebesha majukumu mazito kuna watu wanasema hela ya mwanamke hailiwi ni upumbavu sana nini maana ya kuwa na msaidizi hizi ndoa za saivi zinaupumbavu mkubwa sana .

Mke kama msaidizi lazima achangie kusaidia majukumu kama ni kujenga achangie, kama ni kodi achangie, kama mahitaji ya watoto achangie, kama ni ada achangie kwenye familia huu upuuzi wa hela ya mwanamke haijulikani inakoenda uishe ,wanaume ambao hamtaki kula hela za msaidizi mi siliungi mkono mimi atanisaidia majukumu na nitaila hela ya mwanamke ni msaidizi kwa mume.

WAZAZI NAWASHAURI

Tukioa binti zenu msiwafanye vitega uchumi kupitiliza " ooh tumekusomesha utujali mara mumeo mbona hatusaidii " Aisee hata sisi wanaume tuna baba tuna mama mambo ya kuishi upande mmoja unafaidika wakati baba na mama yangu wote wamenipigania mpaka nimejiweza halafu hela wale wakwe tuu na mke hapa napo kuna namna isizidi.

sera za upande mmoja mziachee wote tuna haki na mke ni msaidizi ubinafsi mwiko aloooh.

Taasisi za haki za wanawake

Nyie nao mnapotosha zana ya kulinda haki ya mwanamke bila kutambua wajibu wa mke kwa mume, aasisi zinafundisha kuharibu kuliko kujenga na kutatua matatizo ya wanawake kwa mtazamo mmoja kiasi wamekua jeuri balaaa.

MATOKEO YAKE

Wanawake wakichepuka,kudhalau wanaume,kunyanyasa wanaume, wakitoroka jamii haikubali kusimamia madai ni kama hakuna sheria za kutambua madai ya mwanaume bila kuleteana fedheha. Hata kama yakipelekwa ofisi za serikali watu wanalisululusha juu juu huku wakionesha dharau kwa mwanaume na muhusika anadunda tuu aisee tuache masiala.

Wanawake wanakimbia watoto wanakimbIa ndoa zinazoanza kwa sababu ambazo hazina kichwa wala miguu. Wakikuta mali wanajaa ndugu (sio kama hatupendi ila mnakutu sana) hapo hata upumui utasomesha ndugu zake halafu bado atakusimanga husaidii kwa kweli sheria ziwepo ili kumsikiliza mwanaume.

Namtetea mwanaume kwa sababu haya mauaji hayatoisha tukimsahau mwanaume/mtoto wa kiume watachukua hatua mpaka kitapo eleweka.

Mifano ni miwili

1. Mwanza saidi kapiga mtu risasi
2. Kigoma mtu kauwa watu saba bila huruma

nawasilisha.
 
Uzi umekuwa mrefu sana kuisoma yote inataka uvumilivu point ni zakutafuta kwa tochi ... ngoja nikishauri , kwanza relax , weka utaratibu wa nyumbani kwako ndugu akija mulize ataka siku ngapi , ishi na familia yako Acha kujaza ndugu humo hujaolea ndugu , majukumu ya nyumbani muwe mnapanga na mkeo ni swala la makubaliano ishi kwnye kipato chenu , jaribu kishirikiana na mkeo pangeni maisha , kama hayo yote yameshindikana , mwache mtoto wa watu arudi kwao jipange upya .... maisha ni mafupi Acha kujipa stress ..... #ALAFU USITUFOKEE
 
aah kumbe pole bwana kama nimekufokea.
 
Jiunge kwenye chama cha waume wanaopigwa na wake zao, unapigwa kisaikolojia
 
Acha kujiliza, pambana kujenga familia.
 
Uzi umekuwa mrefu sana kuisoma yote inataka uvumilivu point ni zakutafuta kwa tochi ... ngoja nikishauri , kwanza relax , weka utaratibu wa nyumbani kwako ndugu akija mulize ataka siku ngapi , ishi na familia yako Acha kujaza ndugu humo hujaolea ndugu , majukumu ya nyumbani muwe mnapanga na mkeo ni swala la makubaliano ishi kwnye kipato chenu , jaribu kishirikiana na mkeo pangeni maisha , kama hayo yote yameshindikana , mwache mtoto wa watu arudi kwao jipange upya .... maisha ni mafupi Acha kujipa stress ..... #ALAFU USITUFOKEE
Unalalamika uzi mref,af usikute na ww et unataka katiba mpya
 
Ndu yangu Ana point sema ametumia nguvu nyingi sna .... nikirudi kwako katiba mpya inahusiana vipi na mambo ya familia na jinsia? Au unanilisha maneno mkuu , katiba mpya ni mambo ya siasa hapa tumshauri huyu nduguyetu ache kulalamika sana ...ukitaka kuishi vzri ma mwanamke inatakiwa umpeleke kimabavu kama umesoma Cuba utanielewa
 
nimekupata aisee
 
Habari za muda huu natumaini mko vyema mimi nina jambo naliona hembu tutafakari kama litawezekana kwa kusema haya

Jamii itambue wanawake wanaolewa kwa sababu ya shida tuu wengi wao kwa hizi siku lakini ndoani hawana mapenzi yoyote wasumbufu, wazinifu, wajeuri na wakizaa ndio hawatoi huduma za msingi kwa mwanaume .

Wajeuri kwa sababu ukisha muoa anajua ukivunja ndoa anaondoka na nusu ya mali.

Hawataki kufanya kazi za nyumbani kimsingi mwanamke ni msaidizi kwa mwanaume

.... Haiwezekani mke ana kazi lakini bado anakubebesha majukumu mazito kuna watu wanasema hela ya mwanamke hailiwi ni upumbavu sana nini maana ya kuwa na msaidizi hizi ndoa za saivi zinaupumbavu mkubwa sana .

Mke kama msaidizi lazima achangie kusaidia majukumu kama ni kujenga achangie, kama ni kodi achangie, kama mahitaji ya watoto achangie, kama ni ada achangie kwenye familia huu upuuzi wa hela ya mwanamke haijulikani inakoenda uishe ,wanaume ambao hamtaki kula hela za msaidizi mi siliungi mkono mimi atanisaidia majukumu na nitaila hela ya mwanamke ni msaidizi kwa mume.

WAZAZI NAWASHAURI

Tukioa binti zenu msiwafanye vitega uchumi kupitiliza " ooh tumekusomesha utujali mara mumeo mbona hatusaidii " Aisee hata sisi wanaume tuna baba tuna mama mambo ya kuishi upande mmoja unafaidika wakati baba na mama yangu wote wamenipigania mpaka nimejiweza halafu hela wale wakwe tuu na mke hapa napo kuna namna isizidi.

sera za upande mmoja mziachee wote tuna haki na mke ni msaidizi ubinafsi mwiko aloooh.

Taasisi za haki za wanawake

Nyie nao mnapotosha zana ya kulinda haki ya mwanamke bila kutambua wajibu wa mke kwa mume, aasisi zinafundisha kuharibu kuliko kujenga na kutatua matatizo ya wanawake kwa mtazamo mmoja kiasi wamekua jeuri balaaa.

MATOKEO YAKE

Wanawake wakichepuka,kudhalau wanaume,kunyanyasa wanaume, wakitoroka jamii haikubali kusimamia madai ni kama hakuna sheria za kutambua madai ya mwanaume bila kuleteana fedheha. Hata kama yakipelekwa ofisi za serikali watu wanalisululusha juu juu huku wakionesha dharau kwa mwanaume na muhusika anadunda tuu aisee tuache masiala.

Wanawake wanakimbia watoto wanakimbIa ndoa zinazoanza kwa sababu ambazo hazina kichwa wala miguu. Wakikuta mali wanajaa ndugu (sio kama hatupendi ila mnakutu sana) hapo hata upumui utasomesha ndugu zake halafu bado atakusimanga husaidii kwa kweli sheria ziwepo ili kumsikiliza mwanaume.

Namtetea mwanaume kwa sababu haya mauaji hayatoisha tukimsahau mwanaume/mtoto wa kiume watachukua hatua mpaka kitapo eleweka.

Mifano ni miwili

1. Mwanza saidi kapiga mtu risasi
2. Kigoma mtu kauwa watu saba bila huruma

nawasilisha.
Kuhusu kugawana mali baada ya divorce, je sheria ya kila mtu aondoke na alicholeta au makubaliano ya kugawa mali kabla ya ndoa yapo tz?itasaidia mtu asibaki jwenye ndoa kuogopa kupoteza alichokijenga .
 
Acha kulialia tafuta hela, acha kutamani hela ya mwanamke, fanya kazi, fanya biashara, fanya ujasiriamali ili uweze kumudu na kuitunza familia yako. Muda ulioutumia kuandika yote haya ulipaswa kuutumia kutafuta hela.
 
Unalia lia nn wewe kata makofi tandika ngumi hakikisha haumii wala kufa onyesha ww ndio kidume akirudi kwao fata hukohuko kata makofi mbele ya wakwe mbebe mlete home paka mkongo hakikisha panawaka moto alafu uje utoe mrejesho hapa ndio mana tunasema wanaume mnapotea
 
Back
Top Bottom