Mkuu nidhamu itatoka wapi bila kufanya hivo. Watu wenye uchu wa madaraka na tamaa binafsi dawa ni kusafisha. Tunafanyaje magugu shambani? Tuyaache yakue na mazao? Hapana tunang'oa.Ni aibu sana kwa wanasiasa hasa vijana kutuhumiwa usaliti, lakini niaibu pia kukosa suruhu ya kumaliza tatizo bila kufukuzana. Hii dhana ya usaliti imekuwepo hasa kwa sababu ya ccm kwa sababu ya undumila kuwili wakitaka kutawala milele. Lakini zzk kukubali kutumiwa ni waajabu zaidi kama ni kweli. Zzk amekosa uwajibikaji wa pamoja kivipi kama siyo kweli anatumiwa. Kwa nini ktk kila jambo la kupinga serikali yy yuko kinyume. Huyu kweli siyo mwana cdm. Lakini kwa nini kila anayekosea afukuzwe kwa kunyanganywa uanachama? Siasa za vyama vyetu niya kitoto sana. Msaliti muondoeni kwenye uongozi hata ubunge lkn abakie mwanachama. Sijui kwa nini hivi mimi mgeni sana kwenye siasa kwa hili siyo safi.
Dk.Ayoub Ryoba mhadhiri na mchambuzi wa siasa za kiafrika anasema,
wanachama wengi wa vyama vya siasa Tz hawajui ideology za vyama vyao. Utakuta chama cha siasa kina wanachama wenye mawazo na mitazamo isiyoshabihiana kabisa na ideology za vyama vyao.
Mkuu subiri mwezi wa pili uishe ndipo utamjua zitto ni nani kwenye hii dunia lazima mjute kumchokoza.zitto ni sisimizi mdogo sana ccm wameshakupoteza huu ubunge unabaki kwa sababu ya mahakama tuu hukumu kesho
Mkuu ukomavu wa maamuzi ya cc uko wapi kila kitu kiko wazi kuwa zito kaonewa ili kuwapisha mbowe na slaa kuendesha chama kifalme bila kuhojiwa kwa vile unaongozwa kwa kufuata upepo hakika hutaujua ukweli.Maamuzi ya CC ya CDM hakika ni ukomavu wa kisiasa.Maamuzi ambayo katu hayawezi kuchukuliwa na chama chochote nchini.Alafu namshauri mh Zitto kwamba huu muda anaoupoteza mahakamani angeutumia kuanzisha chame chake.
Ni aibu sana kwa wanasiasa hasa vijana kutuhumiwa usaliti, lakini niaibu pia kukosa suruhu ya kumaliza tatizo bila kufukuzana. Hii dhana ya usaliti imekuwepo hasa kwa sababu ya ccm kwa sababu ya undumila kuwili wakitaka kutawala milele. Lakini zzk kukubali kutumiwa ni waajabu zaidi kama ni kweli.
Zzk amekosa uwajibikaji wa pamoja kivipi kama siyo kweli anatumiwa. Kwa nini ktk kila jambo la kupinga serikali yy yuko kinyume. Huyu kweli siyo mwana cdm.
Lakini kwa nini kila anayekosea afukuzwe kwa kunyanganywa uanachama? Siasa za vyama vyetu niya kitoto sana. Msaliti muondoeni kwenye uongozi hata ubunge lkn abakie mwanachama. Sijui kwa nini hivi mimi mgeni sana kwenye siasa kwa hili siyo safi.
Mkuu nidhamu itatoka wapi bila kufanya hivo. Watu wenye uchu wa madaraka na tamaa binafsi dawa ni kusafisha. Tunafanyaje magugu shambani? Tuyaache yakue na mazao? Hapana tunang'oa.
mmmh!!! makasuku wapo wengi kumbe..tha kaonewa nini???aliyemtuma kazi kitila amekubaliMkuu ukomavu wa maamuzi ya cc uko wapi kila kitu kiko wazi kuwa zito kaonewa ili kuwapisha mbowe na slaa kuendesha chama kifalme bila kuhojiwa kwa vile unaongozwa kwa kufuata upepo hakika hutaujua ukweli.