Jamii imefumba macho wakati soko huria la ngono likiangamiza vijana

Huyu haelewi kama tatizo hili ni la kimfumo, hivyo ni la jamii nzima, sio swala la mtu mmoja mmoja.

Mfumo upi???ilikuwepo ??au imetokea wapi??

Nyie mnaojidai conservatives mna tabu sana..

Free yourself from that slavery..

Kuna Serial killer mmoja kule Ipswich yeye alikua anaua prostitutes tuu..

Im sure huyu bwana alikua na views kama nyie...

hivi kabisaa mnataka tuishi Ngono Free life??

tutaweza??

hahaaaaa

jifunzeni kuishi maisha yenu,NO ONE is answerable to anyone..
 
Mifumo ipi mkuu?

Mifumo ya kiuongozi kati ya familia moja na nyingine ni tofauti, uchumi wa familia moja na nyingine ni tofauti, mazingira ya makuzi wanayopitia watu tofauti tofauti ni tofauti pia

Kuna familia ambazo changamoto kwa upande wao si nyingi, na uchache wa changamoto walizo nazo wanajitahidi kupambana waziondoe kabisa. Zisiwepo

Kuna familia wanazo changamoto nyingi sana lakini hawajali hakuna anayejali, ama kutokana na mazingira waliyopo na mitazamo waliyo nayo

Kwa maana hiyo basi kwa wingi wa Mifumo hiyo tofauti tofauti kwa wengine watao Dunia imeisha kwa wengine watakuwa wanaona yajayo ni nuru ( utatuzi wake ni Mgumu sana ni bora kila mmoja kupambana kujitengenezea ustawi wake bora na usiokuwa na athari kwa wengine)
 
Pia ni muhimu kuelewa kwamba vijqna kwa sababu ya moto uliopo wakati huo wa kutamani trending issues wanaingia kwenye kuchagua wenza kwa vigezo ambavyo si vya kindoa. Vijana wanaendeshw na sexual desire kuliko maisha ya muda mrefu katika ndoa.

Hapo ndipo ilipo tofauti ya mzazi kusimamia mchakato na mtoto kujiamulia mwenyewe. Mzazi ataangalia sifa (qualities) za mke mwema ama mume mwenye kufaa. Ataangalia kama binti atamudu kumtunza mwanaye, ataweza kulea watoto , atawaheshimu ndugu wa mume n.k. huku kwa upande wa binti nao wataangalia kama mwanamume huyu ana uwezo wa kumtunza binti yao na watoto watakaopata, kama ni mchapa kazi, mwenye maadili mema na nidhamu n.k.

Michakato ya kisasa imeipoteza jamii na ndio maana ndoa zinafungwa kwa interest tofauti. Amini usiamini mwaka jana nilipata taabu sana kushauri wanandoa ambao mke alilalamikia kuingiliwa kinyume na maumbile kisha kutakiwa aondoke. Kumbe watu hawa walianza tangu mapema huo mchezo na mume akaamua aoe kabisa ili afurahie ubazazi huo, sasa baada ya kuona huko nyuma kumetanuka akaamua kuhamia kwa house girl na mama kutakiwa aondoke.

Tazama jambo hili lilivyobadilika kwa kasi, ni majuzi tu habari ya kufirana ilikuwa aibu kuitamka mbele ya jamii, lakini leo mwanamke kuingiliwa nyuma sio habari sana, na mwanamke akionekana hashiriki huo mchezo jamii inamshangaa. Bado kidogo tu mwanamume naye itakuwa kawaida tu mkufirwa na watu watasema ni uamuzi binafsi.

Hawa hawa wanaosema ni uamuxi wa mtu binafsi ndio wazazi wa kesho, nadhani watakuwa radhi kuhudhuria ndoa za watoto wao wakiolewa ama na wanaume ama wanawake wenzao. Tunapotea kwa kuyakataa maarifa
 
the question is why would you wanna survive like a headless chicken? yani unataka tusurvive bila brain!!! hili ni tatizo.

Hujui unachotaka, for how long you have been living like a headless chicken?Niambie ni kipi ambacho unaweza ukakibadilisha sasa hivi?paap after 2,3,4, 10 years to come other factors remain constant
 
Ndo utandawazi huu sasa, wazazi ama walezi mnawatupia lawama tu maaan vijana wa sasa ni sikio la kufa hawasikii hawaambiliki washauri wajitambue.
 
cant you see NGONO ni INDIVIDUAL CHOICE???...na individualistic society kila INDIVIDUAL ana make his/her own choice.

ngono ni individual choice and when you suffer the consequences you blame the society.

unafanya ngono zembe bila kupenda kisa hutaki kumpoteza mwanaume.

unafanya kinyume na maumbile bila kupenda kisa hutaki kumpoteza mwanaume.

unafanya ngono mapema unachakaa mapema ilimradi tu uendane na wakati uwe wa kisasa zaidi.

lets talk about individual choices...

Rebeca, hilo swala angeongea mwanaume kidogo lingeleta maana maana sisi ndo tunawapresha sana kufanya vitu ambavyo hamvipendi ila mnafanya tu.
 
Hujui unachotaka, for how long you have been living like a headless chicken?Niambie ni kipi ambacho unaweza ukakibadilisha sasa hivi?paap after 2,3,4, 10 years to come other factors remain constant
ningekua sijui nnachotaka ningeungana na wewe kusapoti corruptness na kusema tuache kila kitu kama kilivyo.
 
ngono ni individual choice and when you suffer the consequences you blame the society.

unafanya ngono zembe bila kupenda kisa hutaki kumpoteza mwanaume.

unafanya kinyume na maumbile bila kupenda kisa hutaki kumpoteza mwanaume.

unafanya ngono mapema unachakaa mapema ilimradi tu uendane na wakati uwe wa kisasa zaidi.

lets talk about individual choices...

Rebeca, hilo swala angeongea mwanaume kidogo lingeleta maana maana sisi ndo tunawapresha sana kufanya vitu ambavyo hamvipendi ila mnafanya tu.

Nani anablame society mkuu?

mimi nawalaumu nyie kwa kututaka tuishi ki 'holy' wakati hatuna uwezo huo...tuna hormones zinazotuchochea most important tuna brains za kudecide if to switch on au to switch off..sasa nyie mnataka tuishi kivyenu kivipi wakati ni lifestyle tuliyoichagua....

...Lets talk about individual choices ..YES,ila tusiishie kutype humu JF,nataka uondoke kwenye hii topic ukiwa free...lol..angalia mambo with an open mind...kufanya ngono zembe,kuingiliwa kinyume na maumbile..etc NI MWILI WAKE MTU ANACHAGUA HUNA MAMLAKA NAYO....JARIBU KUHESHIMU UHURU WA WATU WENGINE...ndio maana nikakuuliza pale wapi will you draw the line kama faragha ya mtu mnajiona mna haki nayo?
 
Vijana wanaendeshwa na sexual desire kuliko maisha ya muda mrefu katika ndoa.
hapa umeongea ukweli kabisa na hata nyimbo nyingi za siku hizi wasanii wanaimba ngono tu.. ngono tu. yaani huwezi ukasikiliza mbele ya wazazi au hata kwenye sherehe huwezi kuzipiga.

Tazama jambo hili lilivyobadilika kwa kasi, ni majuzi tu habari ya kufirana ilikuwa aibu kuitamka mbele ya jamii, lakini leo mwanamke kuingiliwa nyuma sio habari sana, na mwanamke akionekana hashiriki huo mchezo jamii inamshangaa.
kuna wimbo niliskia kwenye radio msanii anaimba "hata nyuma napo kwangu" akimaanisha anamla mwanamke wake tope. ni aibu.
 
Leo Nyenyere umeongea Point...!! Safi sana mzee baba... Maadili kwisha habariii Yanapelekea sexual desire kuwa juu mwisho wa siku Mtoto namzalisha mtoto hatimar single mother kibao mtaani.
 
Nani anablame society mkuu?
sio ninyi mnaokuja na nyuzi humu zina heading "wanaume wa siku hizi mnakwama wapi?" kwanini unalaumu collectively na sio huyo individual person ulielala nae?


angalia mambo with an open mind...kufanya ngono zembe,kuingiliwa kinyume na maumbile..etc NI MWILI WAKE MTU ANACHAGUA HUNA MAMLAKA NAYO....JARIBU KUHESHIMU UHURU WA WATU WENGINE

inakuaje ni mamlaka yako wakati mimi ndio nimekulazimisha tufanye bila condom?
inakuaje ni mamlaka yako wakati mimi ndio nimekulazimisha nikupake KY nyuma?

Umeshindwa kuheshimu uhuru wako kwa kuogopa kunipoteza mimi.
 
Haya haya tena kila jinsia isome part yake........ Vijana/msome panapowahusu na sie tutasoma panapotuhusu....


Ila asante mtoa mada umepiga nyundo ya nguvu mno...... Barikiwa sana
 
sio ninyi nnaokuja na nyuzi humu zina heading "wanaume wa siku hizi mnakwama wapi?" kwanini unalaumu collectively na sio huyo individual person ulielala nae?




inakuaje ni mamlaka yako wakati mimi ndio nimekulazimisha tufanye bila condom?
inakuaje ni mamlaka yako wakati mimi ndio nimekulazimisha nikupake KY nyuma?

Umeshindwa kuheshimu uhuru wako kwa kuogopa kunipoteza mimi.


sidhani kama umeipata kisawasawa idea ya collectivism or individualistic cultures..

.anyway haya wanaume kukwama wapi ni subjective experience ya mtu...

.inawezekana labda hajaridhika akiangalia historia yake ya mapenzi sio nzuri

sidhani idadi ya wanaolalamika ni kubwa kiasi cha kufanya generalisable conclusions

Mambo ya KY Jelly kulazimishana sikubaliani na wewe,hakuna anaelazimishwa kufanya mambo hayo...


NO, never...unless amebakwa serious..ila hao wengine wanapenda kufanyiwa hivyo...





kati ya maelfu ya watu wanaoingia humu JF,wangapi wanakuja na topic hizi…??
 
Back
Top Bottom