Jamii forums application

Tigga Mumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
746
Reaction score
474
Nawasalim.
Kwa wanaotumia android operating system kuna application ya jamii forum.
Kwenye google play search jamiiforums zitakuja mbili, mimi nimeinstall ya anodexter.

Very cool app.
 
watu wananidisapoint sana, hawasomi, hawasearch ili mradi wanaweza kuandika basi tu....
natamani kuwa naondoa nyuzi kama hizi

dah... Bora huyu... Mtu anapost Matangazo jukwaa hili utadhani jukwaa la matangazo halipo! :coffee:
 
Baada Ya ku update application ya jamiiforums hainipi option ya kupost reply tena. Je kwa wengine iko vipi? Hivyo nalazimika kutumia website ya JamiiForums ili ni wezi kupost
 
Baada Ya ku update application ya jamiiforums hainipi option ya kupost reply tena. Je kwa wengine iko vipi? Hivyo nalazimika kutumia website ya JamiiForums ili ni wezi kupost

ume login? maana hata website kama huja log in ujue huwezi post reply
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…