ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Dec 29, 2011 #21 hay tuwasaidie kuweka title ya hapo maana hiyo party sio sehmemu yake lakini uenda mlidhani kwamba neno hili jema.oky msijali
hay tuwasaidie kuweka title ya hapo maana hiyo party sio sehmemu yake lakini uenda mlidhani kwamba neno hili jema.oky msijali
tobycow Senior Member Joined Apr 12, 2011 Posts 129 Reaction score 13 Dec 29, 2011 #22 mi nikimuona wa kus4oma namkatia shanga zake
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,368 Dec 29, 2011 #23 Sipati picha nikikutana na Paw
THK DJAYZZ JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 2,166 Reaction score 175 Dec 29, 2011 #24 Ingekuwa funika mwaka, kwani nawakubali raia kibao kama Jaluo_nyeupe, bujibuji, washawasha, nyaningabu, Malaria Sugu...
Ingekuwa funika mwaka, kwani nawakubali raia kibao kama Jaluo_nyeupe, bujibuji, washawasha, nyaningabu, Malaria Sugu...
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Dec 30, 2011 #25 iwe jf warsha
Boniface Evarist JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 1,147 Reaction score 513 Dec 30, 2011 #26 Aisee hapo ndo wengne tutapanda chati coz I was born for oral debating. I like to meet great debators!
Aisee hapo ndo wengne tutapanda chati coz I was born for oral debating. I like to meet great debators!
kilimasera JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 3,068 Reaction score 277 Dec 30, 2011 #27 na sie tuliopo porini inakuaje??mtufikirie usafiri
sakapal JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 1,804 Reaction score 1,425 Dec 30, 2011 Thread starter #28 kilimasera said: na sie tuliopo porini inakuaje??mtufikirie usafiri Click to expand... sio lazima ifanyike bongo tunawezaifanyia mkoa na muandaaji inabidi awe moderators au wanajukwaa la jokes/utani mnasemaje?
kilimasera said: na sie tuliopo porini inakuaje??mtufikirie usafiri Click to expand... sio lazima ifanyike bongo tunawezaifanyia mkoa na muandaaji inabidi awe moderators au wanajukwaa la jokes/utani mnasemaje?
sakapal JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 1,804 Reaction score 1,425 Dec 30, 2011 Thread starter #29 moderators tunaomba mtufikirie kuandaa huo mdahalo wa jf utani/jokes tuonane waweza kuta ni ndugu na pia waweza kuta mtu na mkewe ni memba wazuri wa jf bila kujua kwa kutumia majina mbalimbali na avatar tofauti
moderators tunaomba mtufikirie kuandaa huo mdahalo wa jf utani/jokes tuonane waweza kuta ni ndugu na pia waweza kuta mtu na mkewe ni memba wazuri wa jf bila kujua kwa kutumia majina mbalimbali na avatar tofauti
Terrire Member Joined Jul 13, 2011 Posts 88 Reaction score 10 Dec 30, 2011 #30 Mamzalendo said: Kuna watu ni vigumu hata kukaa nao kwa dk 2! Emagine unakutana na Rejao, FF, Mwita25 and the like! Siku inaharibika Click to expand... Usimsahau MIKATABAFEKI
Mamzalendo said: Kuna watu ni vigumu hata kukaa nao kwa dk 2! Emagine unakutana na Rejao, FF, Mwita25 and the like! Siku inaharibika Click to expand... Usimsahau MIKATABAFEKI
Ta Muganyizi R I P Joined Oct 19, 2010 Posts 5,355 Reaction score 2,739 Dec 30, 2011 #31 Mie nataka kumuona Bujibuji ousofia mkubwa huyo...........pia nimuone Preta......kisha nitademo kupiga katerero
Mie nataka kumuona Bujibuji ousofia mkubwa huyo...........pia nimuone Preta......kisha nitademo kupiga katerero