Mkuu Millah Msaidie wewe huyu.@Ntonga basi kama unajuwa?Njia ya kwanza ambayo imeitwa "Redownload" haiwezekani kwa sababu app haipo kwenye AppStore.
Njia ya pili ambayo "Restore from AppStore" pia haiwezekani kwa sababu ile ile, app haipo kwenye store.
Njia ya tatu na ya nne inahitaji mtu aliye-backup iPhone yake kwa hiyo haifanyi kazi kwa watumiaji wapya au wasio na backup.
Tatizo liko pale pale Jamii Forum app haipo kwenye appstore.