JAMHURI yataja matajiri matapeli Tanzania

JAMHURI yataja matajiri matapeli Tanzania

Huyu marehemu mnaemuita Aurora alikufa na nini ,alipigwa risasi?
 
Wapo wengi tu mpaka akina muzamil katunzi na loraa masai na serikali inawajua sana tu. Dawa ni kubadilisha serikali ndio kutakuwa na mwelekeo thabiti laasivyo hamna kitu
 
Mwenzenu nimeona jina la Aurora likanikumbusha machungu yangu. Walinitapeli ofisini kwao kule Upanga milioni 20,ngazi zote za polisi nilifika(hadi ofisi ya IGP),sikupata msaada wowote,la maana niliona kwenye TV-TBC Aurora mwenyewe(sasa ni marehemu) akiwa na wakuu wa Polisi(siwezi kuwataja) wa kanda maalumu Dar wakifanya shughuli za michezo pamoja!Nikaendelea kushangaa! Nawafahamu watu wengine 2 waliotapeliwa kiasi kama hicho na Aurora na haki haijawahi kutendeka.Wako sahihi JAMHURI,nchi hii ina wenyewe wenye haki!

Kwa nini huwataji haa jamvini?
Ukweli ni mwanga mkali unafukuza haya majizi kutokomea gizani.
Usipotaja jina la aliyekutapeli hadithi inakuw kama ina walakin.
 
Mwenzenu nimeona jina lau Aurora likanikumbusha machungu yangu. Walinitapeli ofisini kwao kule Upanga milioni 20,ngazi zote za polisi nilifika(hadi ofisi ya IGP),sikupata msaada wowote,la maana niliona kwenye TV-TBC Aurora mwenyewe(sasa ni marehemu) akiwa na wakuu wa Polisi(siwezi kuwataja) wa kanda maalumu Dar wakifanya shughuli za michezo pamoja!Nikaendelea kushangaa! Nawafahamu watu wengine 2 waliotapeliwa kiasi kama hicho na Aurora na haki haijawahi kutendeka.Wako sahihi JAMHURI,nchi hii ina wenyewe wenye haki!

Pole sana kuna rafiki yangu wali mtapeli dola laki moja alitoka nje oman nikamwambia usiende polis tulikwenda ofisin kwakwe pale upanga mbona hela ilitoka wale mabausa wake waliwekwa chini ya ulinzi na yule marehemu ali kuwa na pressure na aliwekwa kitimoto 24hrs hela ilikuja pale ofisin watu kama hawa usiende polis sababu wanakula nao unatakiwa kuwafanyia umafia tu
 
Ile ofisi yao pale upanga(Aurora Security) imetapeli watu wengi sana wazungu na watanzania, wakaamia msasani wakitumia kivuli cha kampuni ya ulinzi huku wakilindwa na polisi wala rushwa. Ali Aurora alipofariki wadogo zake, khamis na yule bonge ndio wanaendeleza utapeli.
 
Bila kumsahau anayejiita Ndama mtoto wa ng'ombe huyu ni group moja na familia ya Aurora.
 
Matajiri wengi wa tz ni hao hao ,ukifuatilia wengi hawalipi kodi ujanja ujanja mwingi na ndio wajumbe wa vyama vyetu hasa THE BIG ONE!
 
January Makamba aongezwe kwenye iyo list tafathali.

paradiso

Toa ushahidi ndugu au Futa kauli.
Maana nasikia huko znz kwenye UVCCM katoa simu za mkononi 138, nadhani ni smartphone zitakuwa na ni katika mpango uleule wa kutuongezea watu humu mtandaoni kuandika pumba.
 
Last edited by a moderator:
mbona tapaeli wa Zamani Mzamili Katu na yule mbunge wa Morogoro aliyekuwa anashindana na Rejia hayumo? au wamekosa data?
 
CCM wameifanya hii nchi ni ya watu wachache wenye uwezo wa kufanya maamuzi lipi lifanyike na lipi lisifanyike huku wakienjoy utajiri wa nchi hii iliyojaariwa na Mwenyezi Mungu. Hakuna maendeleo ya kweli yatakayoletwa na CCM ndungu zangu, wamesahau nguvu ya majority/umma kwenye siasa za kidemokrasia. Nchi imeoza katika kila idara inayogusa maendeleo ya wananchi, madawa ya kulevya kuua nguvu kazi ya vizazi vya kesho, rushwa serikalini kuendelea kuneemesha familia zao wakati watoto wao wakisoma nje ili waje kutawala kwa kigezo cha watanzania waliosoma ndani hawana walendi wa kimaendeleo nchini.
Bila kukalibisha upinzani hatutaweza kuisogeza hii nchi mbele kimaendeleo maana hawa walio kwenye system akili zao zishakuwa stagnant to tanzania's economic development. Kitu kinachofanyika hapa ni kupoteza maboya ya main public touching topic ambayo ni ''VIGOGO WA SERIKALINI KUHUSIKA NA BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA''. Wanao elewa wataelewa.
 
Haya sio mapya kabisa sema yatavuma sana kipindi cha jk ila since mkapa yalikuwepo,injini hii haifai tena na wala haikarabatiki,kikubwa ni kuiondoa kabisa na kutia mpya pamoja na body otherwise tutaendelea kubadili chupu ila mvinyo ni ule ule
 
hivi nikuulize swali moja.....hivi wewe binadamu kabisa unaishi kama wengine?
Hilo ni jiwe linalozungumza,hata ukilitupa pembeni halisikii maumivu. Achana nalo tumelizoea.
 
paradiso

Toa ushahidi ndugu au Futa kauli.
Maana nasikia huko znz kwenye UVCCM katoa simu za mkononi 138, nadhani ni smartphone zitakuwa na ni katika mpango uleule wa kutuongezea watu humu mtandaoni kuandika pumba.

mkuu habari ya Utapeli wa January makamba upo humu humu, amemtapeli dada wa kimarekeani mamilioni ya pesa na kumtisha maisha.
Unajua mara ya mwisho kwenda marekani ni lini??
 
watanzania tuwe na akili ya kufikiri,wapi bora?wanaotapeli wazungu na kuleta hela za hao wazungu Tanzania au wanaohamisha hela za watanzania na kuzipeleka uswiz kuzificha?mbona wa uswiz hawatajwi? je wapi bora kati ya wanaowatapeli wazungu na wale wanaopakia twiga na pundamilia kuwahamishia nje?na hao wazungu wanaotapeliwa madini kwanini hawapitii kwanza kunakotakiwa kabla ya kununua kama vile wizara ya madini?je wapi bora kati ya wanaotapeli wazungu na wale wanaouza madawa ya kulevya na kuharibu kizazi chetu.?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom