Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,504
- 6,199
Waendesha mashtaka ni vilaza sanaDuh huo uamuzi wa hakimu kama ndio uko kama ulivyoandikwa kwenye gazeti basi ni bora tusiwe na mahakimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Waendesha mashtaka ni vilaza sanaDuh huo uamuzi wa hakimu kama ndio uko kama ulivyoandikwa kwenye gazeti basi ni bora tusiwe na mahakimu
Ha ha ha haaaaaaa... Habari za leo Mkuu? Bora wawepo polisi tu, au sio?Duh huo uamuzi wa hakimu kama ndio uko kama ulivyoandikwa kwenye gazeti basi ni bora tusiwe na mahakimu
Hiyo ilikuwa siku ya kukamatwa , sasa baada ya mahakama kuomba vielelezo viletwe kuthibitisha tuhuma ili mhusika apingwe mvua ikawa utata , je polisi waliuza mzigo ?Kwahiyo hana kesi ya kujibu pamoja na vithibiti vyote hivyo? Sitaki kuamini , kama ni kweli basi hakuna haja ya kuwakata
Hii jamhuri hii, safi sana, haijawahi kushinda mahali.
wawaongezee mishahara hao mawakili wa serikali, wala sio vilaza ni kwamba wanazunguka na kupiga kesi kwasababu mshitakiwa ana offer kubwa kuliko mwajiri. kati ya watu wanaojua criminal, attorney general office inaongoza, na wao wapo update zaidi. sio kwamba hawajui, wanajua ila wanafanya makusudi.
Jamhur inashinda kesi za matus mitandaoni[emoji23][emoji23][emoji23]Hii jamhuri hii, safi sana, haijawahi kushinda mahali.
View attachment 581366
Mkazi wa Same mkoani Kilimanjaro, Aizak Mgavao aliyekamatwa kwa kosa la usafirishaji wa dawa za kulevya aina ya mirungi ameachiliwa huru leo Jumatatu na Mahakama Kuu ya Moshi baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kutoa vielelezo kamilifu.
Akitoa taarifa hiyo Jaji Mfawidhi Kanda ya Moshi, Aishael Sumari amesema mtuhumiwa hana kesi ya kujibu kutokana na mkanganyiko wa ushahidi uliotolewa na upande wa Jamhuri hivyo ameachiliwa huru.
Aizak alikamatwa mnamo Aprili 11 mwaka 2015 katika kituo kikuu cha polisi Moshi akiwa na mirungi kilo 111 yenye thamani ya Sh 5.5 milioni.
Chanzo: Mwananchi
Sheria siyo kama kwenda Sabato kusali!Kwahiyo hana kesi ya kujibu pamoja na vithibiti vyote hivyo? Sitaki kuamini , kama ni kweli basi hakuna haja ya kuwakata
Unamaanisha Kg 111 - Kg 2 = Kg 99 imegeuka Mchicha??Hapo unaweza kukuta Mashitaka ni KG 111 lakini iliyopo hadi sasa Mahakamani ni KG 2. Polisi walisha uza mzigo mwingine...
JPM KAMATA WEZI
That is one factor among many others. These gov prosecutors do not have time to read!wawaongezee mishahara hao mawakili wa serikali, wala sio vilaza ni kwamba wanazunguka na kupiga kesi kwasababu mshitakiwa ana offer kubwa kuliko mwajiri. kati ya watu wanaojua criminal, attorney general office inaongoza, na wao wapo update zaidi. sio kwamba hawajui, wanajua ila wanafanya makusudi.
they read. uzuri ni kwamba nilishawahi kuwa state attorney zamani nikaacha. haiji akilini, hao watu wanaouza mirungi na madawa, wana hela nyingi sana. hivi mtu akikuambia anakupa hata 20 au 50, hata 5 m. tu ili usikaze, ubutue tu, mawakili wangapi watakataa? hao wenye mirungi wana hela sana i tell you. kazi zote za magendo zina pesa nyingi na wana offer rushwa kubwa sana, wakili wa serikali akikataa wanaenda kwa hakimu au jaji, wakishindwa kabisa ndo hivyo.That is one factor among many others. These gov prosecutors do not have time to read!
Sent using Jamii Forums mobile app