Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,213
- 3,593
Kinachoweza kuwasaidia Luo wa Kenya kupata utaifa wao (ambayo ndiyo dawa pekee) ni yafuatayo:-
1. Waluo waandae waraka maalum wapeleke UN kuomba eneo lao kupewa mamlaka kamili ndani ya Jamhuri ya Kenya na baada ya miaka kadhaa wapewe nchi yao kamili Jamhuri ya Ramogi.
Huu ndiyo utaratibu salama usiohusisha vita ya wenyewe kwa wenyewe ya kujitenga ambayo humwaga damu za watu wasio na hatia.
Mifano ya nchi zilizodai uhuru toka nchi-mama zao, lakini zikaanza na mamlaka kamili na hatimaye kutangazwa jamhuri ni hizi:-
Asia.
1. Pakistan ilitoka ndani ya India.
2. Afghanistan ilitoka ndani ya Pakistan.
3. Taliban inatafuta kutoka ndani ya Afghanistan.
4. Taiwan (a.k.a Formosa) ni mamlaka kamili ndani ya Uchina.
5. Hong Kong ni jimbo lenye utawala maalum ndani ya Uchina. Julai 1, 1997 ilirudishwa Uchina baada ya kujinasib kama nchi huru na kuzua mgogoro mkubwa kimataifa.
6. Tibet (The Roof of the World) ina jalada UN la kuomba kujitenga na Uchina. Sasa hivi tayari ni mamlaka kamili ndani ya Uchina.
Afrika.
1. Senegal ilijitenga kutoka Shirikisho na The Gambia (Senegambia Confederation) Agosti 1989.
2. Eritrea ilijitenga kuwa taifa kamili toka Ethiopia.
3. Somalia waligawana nchi hadi kufika vinchi 11 ambavyo kuingia kwa mwingine unadaiwa visa (viza).
4. Sudan Kusini ilidai utaifa wake ikapewa.
5. Darfur iko kwenye mchakato wa kutafuta utaifa wake.
6. Biafra ilitafuta utaifa wake chini ya Gen. Chukwuemeka Odumegwu Ojukwu haikufanikiwa lakini serikali ikaanzisha majimbo kamili chini ya shirikisho.
7. Tigray inatafuta kujitenga kwa njia ya vita.
Luo wa Kenya waanze sasa kutafuta Ramogi nation ndani ya Kenya.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app