isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,144
- 6,563
Asante, Je washtakiwa chini ya jamhuri wanakuwa wameshtakiwa na jamii?Jamhuri kwa kiingereza republic, pia yamaanisha jamii huru.
Jamhuri ni Serikali inayoongozwa na Rais.Asante, Je washtakiwa chini ya jamhuri wanakuwa wameshtakiwa na jamii?
Unamaanisha washtakiwa chini ya Jamhuri wanakuwa na kesi dhidi ya watu wa taifa husika?Jamhuri ni Serikali inayoongozwa na Rais.
Nimekupa maana ya ulichokiuliza.Unamaanisha washtakiwa chini ya Jamhuri wanakuwa na kesi dhidi ya watu wa taifa husika?
Naomba unijibie na hiliNimekupa maana ya ulichokiuliza.
Inategemea na jamhuri inakushtaki kwa kosa gani? kama ni jinai siko za aina tatu, crime against state (hiyo ndo ulouliza), crime against person/people na crime against property, mliokimbia umande huwa mnajidai wajuaji sana.Unamaanisha washtakiwa chini ya Jamhuri wanakuwa na kesi dhidi ya watu wa taifa husika?
Sijakataa, sijabisha na sikujifanya mjuaji ndio maana nimeuliza niweze kufahamu.Inategemea na jamhuri inakushtaki kwa kosa gani? kama ni jinai siko za aina tatu, crime against state (hiyo ndo ulouliza), crime against person/people na crime against property, mliokimbia umande huwa mnajidai wajuaji sana.
Nimekupa maana ya ulichokiuliza.
Jamhuri is a Stadium in Morogoro.
Huu uwanja ndio unafungua kesi kila siku?Jamhuri is a Stadium in Morogoro.
Yes, ndiyo huo huo.Huu uwanja ndio unafungua kesi kila siku?
Jamhuri ipi? Ya Dodoma au ya Morogoro?!Jumhuri ni nini? Maana kuna nyakati hutokea taarifa. Mfano inaeleza, Jamhuri yafungua kesi ya kuomba Prof. Director Cosmopolitan kujivua uprofesa.
Sasa huyu Jamhuri ni mtu, watu, kikundi cha watu, wanyama, majabari yani ni nini hasa huyu Jamhuri maana sawahi kumshuhudia.
Kuna yeyote anafahamu anaishi wapi, kazi/ajira yake, jinsi yake, ameoa au ameolewa?
Nisaidie Wakuu
Huwa naskia "Flani anashtakiwa na Jamhuri" sasa nilihitaji kufahamu Jamhuri huyu ni nani?Jamhuri ipi? Ya Dodoma au ya Morogoro?!