Atavuna alichopanda na Mungu atamsimamia kwa hicho. Sasa basi akiwa alidanganya itakula kwake na ikiwa hakudanganya atashinda udhalimu dhidi yake.Mungu amsimamie huyu kijana
Vipi ikiwa alilazimishwa kutuma izo message ?.. Au sim yake ilichukuliwa ikawa sio yeye alikuwa anatuma??Atavuna alichopanda na Mungu atamsimamia kwa hicho. Sasa basi akiwa alidanganya itakula kwake na ikiwa hakudanganya atashinda udhalimu dhidi yake.
Lakin nionacho kwa ushahidi wa Tigo sms na simu pamoja na mpenzi wake ikiwa na kweli kwamba siku hapatikani watu wanamtafuta yeye anakula bata na mpenzi wake itakula kwake. Na kuna uwezekano mkubwa ndicho kilichotokea
Ngoja tuone picha litaisha vipiAtavuna alichopanda na Mungu atamsimamia kwa hicho. Sasa basi akiwa alidanganya itakula kwake na ikiwa hakudanganya atashinda udhalimu dhidi yake.
Lakin nionacho kwa ushahidi wa Tigo sms na simu pamoja na mpenzi wake ikiwa na kweli kwamba siku hapatikani watu wanamtafuta yeye anakula bata na mpenzi wake itakula kwake. Na kuna uwezekano mkubwa ndicho kilichotokea
Vipi ikiwa alilazimishwa kutuma izo message ?.. Au sim yake ilichukuliwa ikawa sio yeye alikuwa anatuma??
Sio kihivo mkuu. Suala la mtu kutekwa sio kitu kidogo ujue. Lina athari kubwa sana kwa uchumi, usalama na siasaHii kesi inapoteza fedha za Taifa bure tu!
Namuonea huruma dogo. Anyway ndio kujifunza hukoNgoja tuone picha litaisha vipi
think in and out of the boxAtavuna alichopanda na Mungu atamsimamia kwa hicho. Sasa basi akiwa alidanganya itakula kwake na ikiwa hakudanganya atashinda udhalimu dhidi yake.