Yule ndio Julio Pereira.Mzee wa kulinzisha akivurugwa.
Mie hakuna siku niliocheka kama vile alivyochezea kichapo cha polisi uwanjani waliovyoenda Kongo,sasa badala ya kulia kule akaja kulilia huku mbele ya waandishi wa Habari.
Aisee yule jamaa burudani sana.
Mwenye contacts zake anipe wakuu,maana nataka anipe ushauri na faida ya kuwa na Team