James Orengo vs Tundu Lissu

acha fananisha orengo na hiki kisaliti cha ufipa, kinafiki
 
Lissu amewagaragaza serikali mara ngapi mahakamani. Pamoja na sheria zetu mbovu na mfumo mbaya wa utawala, mhimili mmoja kuingilia au kuonyesha dalili ya kuongoza mhimili mwingine. Lissu he is role model among tz loyers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu acheni upuuzi huyu James Orengo anapinga mafisadi maisha yake yote na anachokipigania kinaonekana,Lissu alishiriki kutengeneza orodha ya mafisadi papa,sasa hivi anawabebea mafaili.Tofauti yao kubwa ni kwamba mmoja ana msimamo wa dhati,mwingine hana msimamo hata robo.
 
Hao wamekufa au wameishiwa nguvu mawazo yako unataka wote tukunjie mikia matakoni siyo?
Nadhani unapoteza muda mwingi hapa bila kujifunza jipya. Hao wamekufa, Akina nani wamekufa? Unaambiwa tafuta majina hayo, wewe unasema wamekufa. Tuko hapa kusifia walio hai ili watusikie?
 
Nadhani unapoteza muda mwingi hapa bila kujifunza jipya. Hao wamekufa, Akina nani wamekufa? Unaambiwa tafuta majina hayo, wewe unasema wamekufa. Tuko hapa kusifia walio hai ili watusikie?
Nijifunze kwa nani? From the cowardice die soft crooks? No Over my dead body may be!!
 
Kwanza hongera sana kwa analysis nzuri sana ya Lissu.

Ila hicho unachosema "ubaya wa Lissu" mimi nadhani siyo ubaya. kama vile ambavyo naturally wapo watu ambao lazima wakubaliane na utawala simply because ni utawala, au watu ambao wanapenda kukubaliana na wengi, basi ni vema tukawa na watu ambao wako upande wa "wachache, wanaofitiniwa na kuhujumiwa". hiyo ni natural selection ya Mungu, ni namna ya "ecosystem".
 
Nimeingalia hiyo clip na nimejikuta machozi yakinutoka.

The Great Tundu Lissu
 
..mjadala huu unapaswa kupitiwa upya.

..kama James Orengo anafanana na Tundu Lissu.
 
Watu kama kina Tundu Lisu ni wachache sana duniani
 
Pia ubaya wa Tundu Lissu ni kusimama ktk Haki, Ukweli na ni mpenzi wa Amani kwa wote. Hivyo ndivyo dunia inaweza kumwelezea Tundu Lissu.
 
Itikadi za huyu mwamba zimenipa mafanikio sana. Mimi sio mwanasheria lakini ukichagua kuwa Bright na Mchapa kazi kama Lissu utafanikiwa sana.

Imagine mtu anaweza kusimamia kesi zaidi ya 100 kwa mwaka mmoja na zote akashinda na zote akahudhuria bila kuathiri shughuli zingine.

Hii sio upendeleo. Ni Karama.
 
..Nimefukua kaburi.

..siku sita baada ya mada hii kupandishwa walitumwa watu wakamuuwe Tundu Lissu.
 
Sasa umemshuhudia lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…