Huyu bwana kajizolea sifa lukuki kwa wakenya na wapenda sheria wote duniani. Imefikia mpaka Watanzania wanamfananisha na Mwanasheria machachari Tundu Lissu..
Sijawahi kumshuhudia Lissu akiwa mahakamani, ila nimemwona Orengo, jamaa is very calm and calculated. Anaongea kwa tone ambayo kila mmoja atashawishika kumsikiliza, sijui Lissu akiwa mahakamani anakuaje, lakini kama anaongea kwa ile tone ya bungeni na kwenye mikutano ya kisiasa naona wazi Lissu atakuwa na weakness fulani.
Ningependa mpitie hili andiko ambalo limempa Orengo sifa lukuki na ni kwanini ameshinda hii kesi akiwagalagaza SC wengine wanne..
Five ways James Orengo has proved to be brilliant lawyer
JE NI HAKI KUMFANANISHA ORENGO NA LISSU? Naomba vijana wa siasa mkae pembeni ningependa kujibiwa na wanasheria na watu wenye uzoefu na mahakama..
Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahaaaaaa mkuu Barafu hakika umetupa undani wa bwana huyo hasiye onekana MZALENDO ambao sijui unapimwa kwa kiwango kipiTundu Antipas Lissu is "Eloquent"...he has legal language anapokuwa mahakamani,na anapokuwa bungeni,he has a "political Language".
Ubaya wa Lissu ni kuwa,maisha yake yote amechagua kuwa upande wa "kupinga" na si "kukubali"...Toka shule ya Msingi,Shule ya upili,chuo,JKT mpaka katika maisha yake ya kila siku,amechagua kuwa "upande wa wachache wasio na sauti"
Upande wa wachache huwa hauna sifa,ni upande wa kufitiniwa na kuhujumiwa...Zaidi ya lugha ya kimahakama,nje ya siasa na sheria,Tundu Lissu ni mtu muungwana sana,ana lugha nzuri na si mtu wa kisasi wala hasira za haraka!!
Kuna wakati ukikaa na Lissu kuongelea maisha na familia,unaweza kujiuliza,hivi huyu ndio Lissu wa Bungeni?
Siyo kumtamani mwanaume mwenzake ila mtu anakuwa inspired na ueledi pamoja utaalamu wa mtu mwingine anapofanya mambo makubwa na ya maana awe mwanaume awe mwanamke haijalishi...
Unamfahamu Orengo?Acha dharau. Unamfananisha Orengo na huyo Mhemko anayekula matapishi hadharani?
Nadhani tofauti iko wazi. Ukisoma maelezo hayo, Orengo aliweza kutofautisha jukwaa la siasa na chumba cha mahakama. Jambo ambalo mwenzetu huyu anayeitwa machachari, hana kabisa! NImeona anavyoshindwa kutofautisha Bunge na mikutano ya mitaani. Nadhani Orengo ni mtu mwenye sifa za pekee. Ni mtu anayeweza kujua uso wa mwenzake unasema nini. Tatizo la Lissu anataka kila mtu amsikilize yeye anasema nini bila kujali msikilizaji ni nani.Huyu bwana kajizolea sifa lukuki kwa wakenya na wapenda sheria wote duniani. Imefikia mpaka Watanzania wanamfananisha na Mwanasheria machachari Tundu Lissu..
Sijawahi kumshuhudia Lissu akiwa mahakamani, ila nimemwona Orengo, jamaa is very calm and calculated. Anaongea kwa tone ambayo kila mmoja atashawishika kumsikiliza, sijui Lissu akiwa mahakamani anakuaje, lakini kama anaongea kwa ile tone ya bungeni na kwenye mikutano ya kisiasa naona wazi Lissu atakuwa na weakness fulani.
Ningependa mpitie hili andiko ambalo limempa Orengo sifa lukuki na ni kwanini ameshinda hii kesi akiwagalagaza SC wengine wanne..
Five ways James Orengo has proved to be brilliant lawyer
JE NI HAKI KUMFANANISHA ORENGO NA LISSU? Naomba vijana wa siasa mkae pembeni ningependa kujibiwa na wanasheria na watu wenye uzoefu na mahakama..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata Orengo si wakili tu peke yake, ni mwanasiasa pia.Hata huyo orengo angekuwa mwanasiasa angekuwa tofauti kwenye majukwaa ya kisiasa, mahakamani Tundu Lissu utamtamani sana na pengine kwa sababu umesema hujawahi kumuona mahakamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Barafu Tundu ni "rheotic" lawyer na ni kweli kabisa hana consistency kwenye hoja zake nakubaliana na wewe uliposema kuwa ni mtu aliyeamua kupinga kila jambo sababu tu ya kupinga pia si lazima wachache huwa sahihi.Tundu Antipas Lissu is "Eloquent"...he has legal language anapokuwa mahakamani,na anapokuwa bungeni,he has a "political Language".