mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
Arusha imeishakumbwa na siasa chafu za ubaguzi, zilizoasisiwa na Ole Medeye, kuwa Wachagga Arusha wameifanya kama ndio kwao na haina wenyewe!. Japo raia yoyote Mtanzania, anao uhuru wa kugombea jimbo lolote, ila ni kabila moja tuu ndilo linaloongoza kwa kutoa wabunge wa kabila hilo kwenye mikoa ya wenzao!, wewe nenda kagombee huko kwao, kama hutasikia neno anani amchague "kyasaka!".
Sikumbuki mara ya Mwisho kwa jimbo la Arusha kushikwa na mtoto wa nyumbani ni lini?!. Tatizo la Arusha ni mji wa machalii, Lema ni chalii, sijui kama Milya ni chalii, ushindi wa Lema, ulifanikishwa na ma Don wa Kichagga wakiongozwa na Mrema wa Impala, Naura na Ngurdoto!, kufuatia zile vurugu za maadamano, don huyu alijuta!, akajiapiza Lema harudi 2015!, Arusha haiongei siasa, inaongea pesa tuu!. Chadema msimamisheni tena kipenzi cha wana Arusha na jimbo mlirudishe CCM kama mgombea wa CCM ataungwa mkono na ma don wa AR!.
Pasco.
CCM wanamtaka nani?Hapana wakazi wa Arusha Mjini wanamtaka James Ole.
LEMA anaenda Jimbo la HAI litakaloachwa wazi na Mbowe anayeenda Moshi Mjini.
Arusha imeshamchoka huyu Kamanda.

Wakuu kuna tetesi kuwa James ole Milya anataka kugombea ubunge Arusha mjini mwaka ujao. Mimi naona anafaa zaidi ya mbunge wetu wa sasa Godbless Lema. Godbless Lema amefanya kazi kubwa kuimarisha chama chetu CHADEMA na amewaimarisha vijana na kuwafanya jasiri wa kujua na kudai haki zao. Ni vema sasa akapandishwa cheo na apewe nafasi iliyoachwa na John Mnyika ya Ukatibu Mwenezi na uhamasishaji ili apewe wigo mpana wa kuongeza wanachama na wapenzi nchi nzima. Kwa wasiomfahamu James ole Milya yeye ni mwanasheria, ni kijana wa Kimasai na anaweza kutuletea mawazo mapya ya maendeleo katika jiji letu hasa pale halmashauri ambapo mikataba ya hovyo na ya kifisadi inatengenezwa na hatuoni maendeleo.
Wakuu mwaonaje ?
Siamini hiyo kazi kubwa iko wapi. Usianze kutishia watu washindwe kisaikolojia... au ndo wewe mwenye jimbo unajihami?
Nimeipenda hiyo ya Lema kuwa KAtibu Mwenezi
NI WAKATI MWANAMKE AWE KATIBU MWENEZI TAIFA CHADEMA.
LEMA anaenda Jimbo la HAI litakaloachwa wazi na Mbowe anayeenda Moshi Mjini.
Arusha imeshamchoka huyu Kamanda.
Sasa hizi ni tetesi au ni mawazo yako?
Arusha imeishakumbwa na siasa chafu za ubaguzi, zilizoasisiwa na Ole Medeye, kuwa Wachagga Arusha wameifanya kama ndio kwao na haina wenyewe!. Japo raia yoyote Mtanzania, anao uhuru wa kugombea jimbo lolote, ila ni kabila moja tuu ndilo linaloongoza kwa kutoa wabunge wa kabila hilo kwenye mikoa ya wenzao!, wewe nenda kagombee huko kwao, kama hutasikia neno anani amchague "kyasaka!".
Sikumbuki mara ya Mwisho kwa jimbo la Arusha kushikwa na mtoto wa nyumbani ni lini?!. Tatizo la Arusha ni mji wa machalii, Lema ni chalii, sijui kama Milya ni chalii, ushindi wa Lema, ulifanikishwa na ma Don wa Kichagga wakiongozwa na Mrema wa Impala, Naura na Ngurdoto!, kufuatia zile vurugu za maadamano, don huyu alijuta!, akajiapiza Lema harudi 2015!, Arusha haiongei siasa, inaongea pesa tuu!. Chadema msimamisheni tena kipenzi cha wana Arusha na jimbo mlirudishe CCM kama mgombea wa CCM ataungwa mkono na ma don wa AR!.
Pasco.
Sendeka kule Simanjiro anapumulia mashine. Akisimama na Ole Milya atajamba cheche na sidhani kama ccm watakuwa wajinga kiasi hicho kumrudisha Ole Sendeka eti asimame na Ole Milya! Mpango uliopo ni kumsimamisha Mkuu Wa wilaya ya Kakonko nimemsahau jina lake, pia kuna yule mkurugenzi Wa shirika lenye ile radio ya ORS huwa anapigiwa chapuo na ccm achukue nafasi ya Ole Sendeka!
Lema arusha inamuhusu sana,Wakuu kuna tetesi kuwa James ole Milya anataka kugombea ubunge Arusha mjini mwaka ujao. Mimi naona anafaa zaidi ya mbunge wetu wa sasa Godbless Lema. Godbless Lema amefanya kazi kubwa kuimarisha chama chetu CHADEMA na amewaimarisha vijana na kuwafanya jasiri wa kujua na kudai haki zao. Ni vema sasa akapandishwa cheo na apewe nafasi iliyoachwa na John Mnyika ya Ukatibu Mwenezi na uhamasishaji ili apewe wigo mpana wa kuongeza wanachama na wapenzi nchi nzima. Kwa wasiomfahamu James ole Milya yeye ni mwanasheria, ni kijana wa Kimasai na anaweza kutuletea mawazo mapya ya maendeleo katika jiji letu hasa pale halmashauri ambapo mikataba ya hovyo na ya kifisadi inatengenezwa na hatuoni maendeleo.
Wakuu mwaonaje ?
Hapo mkuu umedadavua vizuri!Mkuu wa shirika la ORS anaitwa Martin ole Sanago. Yule bwana hana mvuto kwa wananchi na yeye siyo mwanasiasa na hapendi siasa, ila wanasiasa wa Simanjiro wanamuogopa sana.
Kuhusu mkuu wa Wilaya ya Kakonko ndugu Peter ole Toima akiamua kogombea ubunge naye pia hatakuwa na impact yeyote ile kwa Ole Sendeka. Ifahamike kuwa iwapo Toima atagombea wananchi wanaweza kupiga kura za hasira dhidi ya incubent. Kuna dhana iliyojengeka miongoni mwawapiga kura kwamba Sendeke alichangia kwa ole Toima kuhamishwa kituo kutoka Simanjiro kwenda Kakonko baada ya kutoka Wilaya ya Rombo.
Mtu ambaye akiamua kugombea simanjro anaweza kubadili upepo siyo James Millya lakini ni Mwenyekiti wa chama mkoa wa Manyara Luka ole Mukusi. Kwa hiyo bado msimamo wangu kwa hili la Simanjiro ole Sendeke at the moment is the man to watch and confidently can dare to say he is the king maker of Simanjoro politics.
Hakuna anayebisha kuwa Ole Milya hafai kuwa mbunge. lakini ingekuwa busara ukatueleza nini chanzo cha tetesi zako?
No one operates at loss,mkuu hongera kwa kazi nzuri ya kumtetea na kumpigania Ole Sendeka.Mkuu wa shirika la ORS anaitwa Martin ole Sanago. Yule bwana hana mvuto kwa wananchi na yeye siyo mwanasiasa na hapendi siasa, ila wanasiasa wa Simanjiro wanamuogopa sana.
Kuhusu mkuu wa Wilaya ya Kakonko ndugu Peter ole Toima akiamua kogombea ubunge naye pia hatakuwa na impact yeyote ile kwa Ole Sendeka. Ifahamike kuwa iwapo Toima atagombea wananchi wanaweza kupiga kura za hasira dhidi ya incubent. Kuna dhana iliyojengeka miongoni mwawapiga kura kwamba Sendeke alichangia kwa ole Toima kuhamishwa kituo kutoka Simanjiro kwenda Kakonko baada ya kutoka Wilaya ya Rombo.
Mtu ambaye akiamua kugombea simanjro anaweza kubadili upepo siyo James Millya lakini ni Mwenyekiti wa chama mkoa wa Manyara Luka ole Mukusi. Kwa hiyo bado msimamo wangu kwa hili la Simanjiro ole Sendeke at the moment is the man to watch and confidently can dare to say he is the king maker of Simanjoro politics.
Kweli kabisa.. Ni muda wa wana Arusha kuwa na mbunge mzawa.. Lema anafanya vurugu Arusha kwa sababu sio kwao..Aende akagombee ubunge kwao Moshi
Mkuu wa shirika la ORS anaitwa Martin ole Sanago. Yule bwana hana mvuto kwa wananchi na yeye siyo mwanasiasa na hapendi siasa, ila wanasiasa wa Simanjiro wanamuogopa sana.