ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,116
Wakuu kuna tetesi kuwa James ole Milya anataka kugombea ubunge Arusha mjini mwaka ujao. Mimi naona anafaa zaidi ya mbunge wetu wa sasa Godbless Lema. Godbless Lema amefanya kazi kubwa kuimarisha chama chetu CHADEMA na amewaimarisha vijana na kuwafanya jasiri wa kujua na kudai haki zao. Ni vema sasa akapandishwa cheo na apewe nafasi iliyoachwa na John Mnyika ya Ukatibu Mwenezi na uhamasishaji ili apewe wigo mpana wa kuongeza wanachama na wapenzi nchi nzima. Kwa wasiomfahamu James ole Milya yeye ni mwanasheria, ni kijana wa Kimasai na anaweza kutuletea mawazo mapya ya maendeleo katika jiji letu hasa pale halmashauri ambapo mikataba ya hovyo na ya kifisadi inatengenezwa na hatuoni maendeleo.
Wakuu mwaonaje ?
ćLema hang'oki Arusha,Ole Millya anakwenda kumng'oa sendeka simanjaro.

Lema hang'oki Arusha,Ole Millya anakwenda kumng'oa sendeka simanjaro.
ć
James ole Millya ni msomi mzuri. Ni mwanasheria. Ni kijana mwenye msimamo. Ni mpenda haki. Kuhusu kugombea jimbo la Arusha na kushinda hata kwenye kura ya maoni nafasi yake ni ndogo sana. Hawezi kushinda hata kidogo. Siasa za Arusha zina acrobatics nyingi sana.
Kuhusu jimbo la Simanjiro kumgoa ole Sendeka ni kazi kubwa sana. Pengine CCM wasimpitishe kwenye kura za maoni. Sendeka hata hii leo akisimama kama private candidate atashinda kwa kura nyingi sana.
Maeneo ambayo Sendekaa anaweza kupata upinzani mkali ndani ya jimbo la simanjiro ni mererani tu. Hata hivyo mererani haiwezi kuamua kura za simanjiro. Wakaazi wake wengi ni wahamiaji na sidhani wamejiandikisha kupiga kura.
James Millya pia tangu alipoamua kuanzisha vita na Sendeka reputation yake ilishuka sana. Alipoamua kuhama chama alidhihirisha kuwa siyo kiongozi mvumilivu kisiasa. Angepambana ndani ya mfumo aliyokuemo ingemkomaza kisiasa zaidi. Tusubiri time will tell.

LEMA anaenda Jimbo la HAI litakaloachwa wazi na Mbowe anayeenda Moshi Mjini.
Arusha imeshamchoka huyu Kamanda.
ć
James ole Millya ni msomi mzuri. Ni mwanasheria. Ni kijana mwenye msimamo. Ni mpenda haki. Kuhusu kugombea jimbo la Arusha na kushinda hata kwenye kura ya maoni nafasi yake ni ndogo sana. Hawezi kushinda hata kidogo. Siasa za Arusha zina acrobatics nyingi sana.
Kuhusu jimbo la Simanjiro kumgoa ole Sendeka ni kazi kubwa sana. Pengine CCM wasimpitishe kwenye kura za maoni. Sendeka hata hii leo akisimama kama private candidate atashinda kwa kura nyingi sana.
Maeneo ambayo Sendekaa anaweza kupata upinzani mkali ndani ya jimbo la simanjiro ni mererani tu. Hata hivyo mererani haiwezi kuamua kura za simanjiro. Wakaazi wake wengi ni wahamiaji na sidhani wamejiandikisha kupiga kura.
James Millya pia tangu alipoamua kuanzisha vita na Sendeka reputation yake ilishuka sana. Alipoamua kuhama chama alidhihirisha kuwa siyo kiongozi mvumilivu kisiasa. Angepambana ndani ya mfumo aliyokuemo ingemkomaza kisiasa zaidi. Tusubiri time will tell.
Hapana wakazi wa Arusha Mjini wanamtaka James Ole.Milya atagombea Simanjiro. Atamng'oa Ole Sendeka