johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,038
Hahahaaaa.......!praise team ya ufipa wanakuja
Mbona kashaufyata baada ya mwenyekiti kuwachimba mkwara kua ukienda kuomba kuteuliwa tu basi sahau kuhusu cheo chako na huko kwenye kuteuliwa itategemea ameamkaje unaweza pita kura za maoni na usiteuliwe vilevile.Ole Sabaya atamfanya kitu kibaya Mbowe
Sabaya atapigwa mkungeye moja matata sanaOle Sabaya atamfanya kitu kibaya Mbowe
Anza na ukoo wa Bulembo, Mwinyi, KikweteNaomba ufipa mwambieni ukoo wa Mbowe wache ufalme!
Mwinyi,Kikwete,bulemboNaomba ufipa mwambieni ukoo wa Mbowe wache ufalme!
Maandalizi ya kurithi nafasi maalumu ya familia. UenyekitiBiashara ya ubunge naona kila mtu anajaribu, duh
Maandalizi ya kurithi nafasi maalumu ya familia. Uenyekiti
Nani amebisha?!Ni haki yake kikatiba
Sasa kumbe wote ni manyani? Kumbe kelele za nini basiAnza na ukoo wa Bulembo, Mwinyi, Kikwete
Sasa mbona chadema mlikuwa mnapiga kelele sana kuhusu hili?Mwinyi,Kikwete,bulembo