PreGE2025 James Mbatia: Waliomshambulia Padri Charles Kitima walilenga kumuua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Mwanasiasa mkongwe nchini James Mbatia, amevunja ukimya kuhusu tukio la kushambuliwa kwa Padri Charles Kitima, ambaye ameelezea pia ni baba yake mlezi wa kiroho ambapo amesema kuwa tukio hilo lililenga waziwazi kuondoa uhai wa padri huyo.

Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Akizungumza na vyombo vya habari leo Mei Mosi, 2025, Mbatia amesema watu waliomvamia Padri Kitima walifanya hivyo kwa makusudi na kwa kutumia nguvu kubwa, huku wakilenga maeneo nyeti ya kichwani.

What next baada ya tukio..? Zaidi ya matamko tu.. tunataka uwajibikaji
 
vijana walikuwa well trained basiiiiiiiii tushajua ni kina nani
hizi kazi za kutumwa kwenda kufanya uhalifu wa hivyo ni hatari, walewale waliotumwa kuna kupotezwa mazima bila kujali lengo limetimia au limefeli. Umasikini mbaya sana unaweza kugeuzwa mbwa kwenda kushambulia watu kwa ujira kiduchu usiotajirisha
 
Sidhani kama wataachwa salama.
Itakuwa mission imefail.

Roho wa bwana amemulinda mtumishi wake.
 
Mwanasiasa mkongwe nchini James Mbatia, amevunja ukimya kuhusu tukio la kushambuliwa kwa Padri Charles Kitima, ambaye ameelezea pia ni baba yake mlezi wa kiroho ambapo amesema kuwa tukio hilo lililenga waziwazi kuondoa uhai wa padri huyo.

Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Akizungumza na vyombo vya habari leo Mei Mosi, 2025, Mbatia amesema watu waliomvamia Padri Kitima walifanya hivyo kwa makusudi na kwa kutumia nguvu kubwa, huku wakilenga maeneo nyeti ya kichwani.

Duh 🙄 !
Mmmmh 😱 !
 
Back
Top Bottom