figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Huna lugha staha ya kuwakilisha mawazo yako, hata kama jambo halikukupendeza? Huoni ukakasi kuandika hivyo? Au nawe uitwe mshenzi na punguani!!
Hongera kwa kujitambua uko hivyo.Ulikua ni uzezeta.
Kwahiyo iko wapi dhambi ya kujisahisha yeye kama Rais, tunaweza kulaumu Wabunge wote, maana kumbukumbu ni Wabunge wote sio wa CCMRais Magufuli alikuwa bungeni miaka 20 ambayo ndo sheria hizo zimepitishwa. Walikuwa wanajibu ndio tena kwa kushangilia. Hivyo haipendezi kama taifa turudi huko tena.
Muda huwa haujawai kusema uongoHeshima kwenu wakuu,
Nlikuwa namsikiliza Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi akutoa maoni juu ya Report zilizotoka za Mchanga wa Madini.
Amesema Watanzania tuwe Watulivu na tujue Tanzania sio Kisiwa. Amepongeza nia nzuri ya Rais Magufuli.
Amesema kinachotakiwa sasa kabla ya Mambo yote, wabunge Wapewe Elimu ya Madini na Elimu ya Soko la madini ili tusirudie Makosa tuliyoyafanya.
Amesema kipindi Mikataba ya madini na Sheria zake zinapitishwa, rais Magufuli alikuwa bungeni na alipitisha sheria hizo asilimia mia kwa mia huku akishangilia. Hali hiyo imefanya wabunge kupitisha mambo mengi yasiyo faa hasa madini tangu 1998 hadi elfu 2010 na madiliko yote yalikuwa yanafanywa kwa jaziba.
Rais Magufuli alikuwa bungeni miaka 20 ambayo ndo sheria hizo zimepitishwa. Walikuwa wanajibu ndio tena kwa kushangilia. Hivyo haipendezi kama taifa turudi huko tena.
Wanasheria wetu wafanye kazi usiku na mchana kuangalia Sheria za Kimataifa zipoje na Sheria zetu zipoje
Rais ana nia njema, tujipe muda, tuwe watulivu.. Tusifanye tena kwa mihemko kama huko nyuma. Japo wanasema walifanya kwa nia njema.
Nasikia wabunge wanasema repoti hizi ni za upande mmoja, tujipe muda wa kusikiliza upande wa pili.
Tutumie nguzo tatu katika Wimbo wetu wa Taifa; Nguzo ya Hekima, Nguzo ya Umoja wa kitaifa na nguzo ya Amani ya Taifa letu kijiweka katika ramani ya dunia.
Kaandika nini mkuu? Kuna watu humu ni ushabiki tu wa kisiasa mpaka akili zao zimegandaRutashubanyuma,
Huna lugha staha ya kuwakilisha mawazo yako, hata kama jambo halikukupendeza? Huoni ukakasi kuandika hivyo? Au nawe uitwe mshenzi na punguani!!
Heshima kwenu wakuu,