James Mbatia (NCCR) amnyang'anya Kafulila nafasi ya U-katibu Mwenezi!

Hivi kwenye vyama ili uwe na madaraka lazima uchochee migogoro?
 
Nasikia ugomvi ndani ya NCCR-MAGEUZI ni Ututsi (Ruhuza, Machali) na Uhutu (Kafulila). Uhamiaji mnasemaje? Mbatia anawaunga mkono Watutsi!
 
Zoka na Zitto bado wapo. Hata akifukuzwa watamuwezesha kushinda ubunge kwa chama chochote atakachoamua kuhamia.
 
Nasikia ugomvi ndani ya NCCR-MAGEUZI ni Ututsi (Ruhuza, Machali) na Uhutu (Kafulila). Uhamiaji mnasemaje? Mbatia anawaunga mkono Watutsi!
Machali ni mtusi? Siamini kama mtusi anaweza kushinda ubunge Kasulu, labda Ngara.
 
These lifeless bigots and egotists really are killing democracy in Tz. The are arch-enemies of peace, stability and prosperity of the wananchi and Tz.
 
hujui lolote chama cuf nikikomavu ndo sasa kinajirudisha upya kwenye nafasi ya kuchukua nchi bara na visiwani siburi joto lauchaguzi na uchaguzi wachama cha cuf uishe uone kafu ina vyorudi we huoni sasa wanaotaka uongozi ndani ya cuf wamewasha moto cuf kunademocracy hatimae uchaguzi utafanyika
 
kafulila nilikutumia salamu za uhuru hapa JF wewe na wenzako kuwataka mfanye kazi mlitumwa na kujenga Upinzani.somo hili halikukuingia sasa inakulazimu kutafuta tena chama Kingine,huku jimbo likiwa hatarini.wadau mshauri huyu jamaa
 
mimi nashauri Kafulia arudi CCM ndo kunamfaa, aliharibu chadema akatutukana, akaingia nccr sasa amethibitisha pia ni tatizo, chadema haina haja ya mtu aina ya Kafulula binafsi namuona kama Shibuda tu (kunguru mwingine), tutakuwa na mizigo mingapi??? Hou wa Shibuda tu unatutoa jasho.... Kafulila= kafulia... Ole wao wanafiki wanaounga mkono ccm, Watanganyika tutawahukumu siku moja
 
kwa mitu alie msikiliza Kafulial bungeni unaweza ukazani ni mtu makini sana. lakini tujiulize kilichomtoa chadema ni nn?
mbona hata aliko kimbilia anaonekana tatizo. KAFULILA jilekobisha.
 
Nimependa Nukuu ya Kafulila katika Gazeti la Mwananchi la Jumatatu kwamba Mwenyekiti wake alishindwa Ubunge kwenye uchaguzi uliopita:

kwa mtu aliewahi msikiliza Kafulial bungeni unaweza ukazani ni mtu makini sana. lakini tujiulize kilichomtoa chadema ni nn?
mbona hata aliko kimbilia anaonekana tatizo. KAFULILA jilekobisha.
 
kwa mtu aliewahi msikiliza Kafulial bungeni unaweza ukazani ni mtu makini sana. lakini tujiulize kilichomtoa chadema ni nn?
mbona hata aliko kimbilia anaonekana tatizo. KAFULILA jilekobisha.
 
Kwa hiyo wewe ndiyo unajua kila kitu.Haya tutaona hizo maiti zako zikifufuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…