James Mbatia (NCCR) amnyang'anya Kafulila nafasi ya U-katibu Mwenezi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

James Mbatia (NCCR) amnyang'anya Kafulila nafasi ya U-katibu Mwenezi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KING COBRA, Dec 12, 2011.

 1. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Taarifa zilizonifikia Punde ni Kwamba , Jemus Mbatia wa NCCR amemunyang'anya David Kafulila Cheo Cha Ukatibu Wenezi kama Mandalizi ya kumunyang'anya kati na Kukosa Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini mapema February Mwakani. Taarifa kutoka kwa Katibu mkuu Ruhuza inasema ,Barua ya tukio hilo imekabidhiwa kwa mhusika leo mapema!!!

  Taarifa kutoka kwa mtu wa karibu na Mbatia zinaonyesha kuwa tayari mpango umesha sukwa na CCM kwamba jimbo hilo lirudi mikononi Mwa CCM wakati Mbatia Mwenyewe anajiandaa kupewa ubunge kupitia Afrika Mashariki.

  Mpango wa Mbatia unalenga kumuondoa David Kafulila katika Ujumbe wa Halmashauli Kuu ambayo itaketi February Mwakani ambapo tayari Wajumbe hao walisha mpa Mbatia Siku 21 kujieleza juu ya tuhuma za Kibaraka wa CCM.

  Kutokana na kafulila Kunyang'anywa Kadi hana sifa ya kupiga kura ya kutokuwa na imani na Mbatia na Kwamba mpango wa kumunyang'anya kadi Kafulila utatekelezwa badala ya kumuondoa Mbatia.

  Wajumbe Wengi wa Halmashauli Kuu ambao wengi ni wa kuteuliwa na Mbatia wamesha pitiwa na Mulungula wa CCM kumumaliza Kafulila!!!
  Mgogoro wa Ubunge Afrika Mashariki Bado unafukuta Ndani ya NCCR ambapo Msaidizi wa Mwenyekiti Danda JUJU naye anautafuta kwa nguvu kiasi cha Kutofautiana na Jemus Mbatia.

  Kutokana na Mkakati huu Hali ndani ya NCCR ni tete sambamba na Hali ya CUF ambapo tatizo kubwa ni kuunga mkono CCM

  Mwezi uliopita Seif aliitisha kikao Pemba kwenye jimbo la Hamadi Rashid na kuandaa Njama za Kumunyang'anya Kadi Hamadi Rashid lakini njama hizo zikafichuliwa na Blueguard wanao muuunga mkono Hamadi rashid

  Bifu hilo limesababisha Seif kutoka Pemba na sasa yupo Lindi kufanya kampeni za Kumuchafua Hamad Rashid huku akipiga Marufuku vikao vyote vya CUF ngazi zote isipokuwa kwa Kibali chake!!
  Seif kaandika barua ambayo imesainiwa na Mketo na mabox ya barua hizo yapo makao CUF yanasubiri kwenda mikoani.

  Barua hiyo inawataka viongozi wote wa CUF nchi nzima wasifanye mikutano bila kibali cha Seif.

  Waraka huo ndio ulimufanya Julias Mtatilo jana kuzuia Ziara ya Hamad Rashid tawi la Kosovo Manzese .

  Hata hivyo Leo saa Kumi Hamadi rashid anafungua tawi la CUF kata ya Mabibo -eneo la CHECHINIA sijui kama watapona maana Blugad wameaagizwa kwenda hapo!!!
   
 2. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Mipango imekamilika kuhakikisha kuwa Jimbo la Kigoma Kusini linakwenda CCM
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Ufafanuzi kidogo, kwani hivi vyama vingine Mwenyekiti ndio mwenye mamlaka ya kumvuwa mtu uongozi na sio vikao vya Halmashauri kuu na kamati kuu?
  Siamini hili maana ingekuwa mwenyekiti ana Mamlaka hayo basi Augustino Mrema asingejiondowa NCCR Mageuzi.
   
 4. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #4
  Dec 12, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  mbatia atakuwa anafikiri kwa kutumia masaburi
   
 5. P

  Panda Kapesi JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 284
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  Duh! Kuna mdudu gani anazunguka jamani!
  demokrasia Kushnehi
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Una Billioni 1 ya kumlipa? maana akikupeleka mahakamani yeye thamani yake ni shilling Billioni 1.
   
 7. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Cheo cha kafulila kama mwenezi ni cha kuteuliwa hivyo aliyekuteuwa ana uwezo wa kukufukuza au kukutoa kwenye hicho cheo anytime akitaka ila hana mamlaka ya kukuvua uanachama
   
 8. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #8
  Dec 12, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  mbatia ni mfano wa mtu asie penda challenges..kafulila wakimtoa nccr ataenda chadema ..wanaweza wakampokonya kadi akahamia chadema na wananchi wa kigoma kusini ndio wenye final say na wanaweza waka waumbua MBATIA na genge lake la kihuni
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Dec 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ............system at work
   
 10. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #10
  Dec 12, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Endeleeni kuchinjana tu
   
 11. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #11
  Dec 12, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Acha unafiki ww,kwani useme linaenda ccm na sio CDM? UJUAVYO Kigoma CCM ina majimbo mangapi? Kama jibu unalo basi jiulize je CCM inakubalika huko au unaleta Porojo?
   
 12. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #12
  Dec 12, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,957
  Likes Received: 1,283
  Trophy Points: 280
  bila kafulila hilo jimbo litaenda chadema na si ccm
   
 13. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #13
  Dec 12, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,957
  Likes Received: 1,283
  Trophy Points: 280
  mleta thread Kigoma si ya ccm tena. Tafakari
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe upo Tanzania au upo nchi gani? yaani hujui kama Kafurila alikuwa Chadema akanyea kambi na akataka kutunishiana misuli na Dr Slaa?

  Huyu dogo to be honestly ni kirusi hafai kabisa maana hawa yeye na Zitto ni vigumu sana kuelewa ni nini hasa wanachohitaji.

  James Mbatia hafai hata kidogo, lakini Kafurila nae ni tatizo kubwa kwahiyo nashauri tuwaache wafu wazikane wenyewe. na mkumbuke hii ilikuwa ni mizigo ya CHADEMA mungu ameisaidia kuituwa mapema, Mbatia aliona kalamba Dume sasa ataisoma.
   
 15. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #15
  Dec 12, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,608
  Likes Received: 2,461
  Trophy Points: 280
  Wanasiasa kama walivyo raia wengine nao pia hufikiri kwa kutumia akili, japo kwa upande huu wa kufikiri nna mashaka tena makubwa!. Wanasiasa hawa wa hapa bongo pia huona kwa kutumia macho na pia husikia kwa masikio kama walivyo viumbe watumiao masikio kusikia!

  James Mbatia kama walivyo binadamu wengine anazo ogani5 za fahamu, endapo hiki kilichoelekezwa kwake kuhusu katibu wake ni kweli nna kila sababu ya kuamini kuwa kipo kilichomsukuma yeye binafsi kufikia uamuzi huo, James mbatia katika kufikia uamuzi huu je ametumia akili yake ipasavyo?

  Nini matarijio ya uamuzi huo? NCCR kwa ujumla wake itanufaika na nini na vp kuhusu mustakabali wa taswira ya upinzani nchini, ambao kwa namna yeyote baadhi ya viongozi wake hurubuniwa kiakili,kimawazo,kimaono,kwa fedha na mambo kadha wa kadha, ili kufisha sauti zisizokubalia na fikra sahihi za chama tawala.

  Wanasiasa wachumia tumbo kama walivyo wananchi wengine wanamacho lakini hawaoni, wanamasikio lakini hawasikii, akili wanazo lakini hawafikiri kwa sababu akili zao ZIMEPOFUSHWA.. Ni vema kumcha Mungu ili tuwe na maarifa zaidi.

  Tafakari!
   
 16. M

  Marytina JF-Expert Member

  #16
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  wote MBATIA na KAFULILA HAWAFUGIKI
   
 17. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #17
  Dec 12, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  makunguru!
   
 18. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #18
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hii story imechanganywa kama maharagwe na mahindi yaliyokobolewa. Kilichotokea hapo ni makande yaliyotuacha hoi na kujaza upepo tumboni. Hatuelewi tuchangie kwa kuzungumzia makande, mahindi au maharagwe. Full confusion!
   
 19. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #19
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Ccm bwana yani kila kukichwa wanawaza kuwa pekeyao tz
   
 20. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #20
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,727
  Likes Received: 1,634
  Trophy Points: 280
  makunguru waaahedi hawa wanaitwa zafanana
   
Loading...