Mkuu sitakuamini hata kidogo katika hili la vivutio vya kitalii hata kidogo...
Nchii hii ina circuits tatu kama si nne kuu muhimu za kitalii, na hapa namaanisha pande nne zote za Tanzania....
Nchi kama Uswisi uliyoitaja kwanza kwa eneo la mraba ni ndogo mno wakati yenyewe ina eneo la kilomita za mraba 41,285 ...sisi Tanzania tuna kilomita za mraba 947,300 (sasa fikiria inaingia kwetu mara ngapi hapo).
Ukiacha hilo, ukiichukua Mbuga ya Wanyama ya Serengeti (14,763 kilometa za mraba) na ukaenda kuipachika katika nchi ya Uswisi, mbuga hii itajaza theluthi ya nchi ya Uswisi.
Hapo bado sijakutajia Hifadhi ya Wanyama ya Selous yenye eneo la kilometa za mraba 44,800. Yaani kwa kifupi nchi yote ya Uswisi ni ndogo kulinganisha na hifadhi ya Selous.
Hapo sijataja maeneo mengine yaliyobakia...Upo?????
Mkuu usisome mambo kwa kukurupuka wewe, hivyo vivutio vingi ni katika level gani?
Hizo nchi zinazotembelewa ni nini kinasababisha hadi zinatembelewa?
Tangu aseme Tanzania hakuna MITAALA wakati watu wanasoma.., wanafanya mitihani..., kuna mfumo unaojulikana wa kuandaa walimu na certification kwa wahitimu NILIMWEKA KWENYE dustbin....Hana tofauti na kilaza mwenzie aliyesema hakuna serikali wakati anashiniliza maandamano serikali anayodai haipo isitishe bunge la katiba!!!!
​WANASIASA WENGI WA UPINZANI TANZANIA WAKO TOO LOW NA TOO LOCAL!!!
Angalia
[TABLE="class: wikitable sortable jquery-tablesorter"]
[TR]
[TD]1.
[/TD]
[TD="align: left"]Morocco[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2.
[/TD]
[TD="align: left"]South Africa[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3.
[/TD]
[TD="align: left"]Tunisia[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4.
[/TD]
[TD="align: left"]Algeria[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5.
[/TD]
[TD="align: left"]Mozambique[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6.
[/TD]
[TD="align: left"]Zimbabwe[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7.
[/TD]
[TD="align: left"]Kenya[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8.
[/TD]
[TD="align: left"]Uganda[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9.
[/TD]
[TD="align: left"]Swaziland[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10.
[/TD]
[TD="align: left"]Tanzania[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kati ya nchi hizoipi inavituo vya asili vingi kuliko Tanzania.
kwa walewalioangalia taarifa ya juzi kutoka kwa waliotembelea mbuga moja huko Afrika ya Kusini mlisikia walichosema kuhusu mbuga hiyo.
Hapo umezitaja kwa vigezo gani?