Ilitara kimura
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,883
- 1,855
Yeye anaongelea vivutio wewe unaongelea kutembelewa.
Hebu weka sawa hapo.
Hata hivyo, ukishakuwa UKAWA akili zako haziwezi kuwa sawa. Kutaka kuhatarisha amani ya nchi iliyopiganiwa kwa miaka mingi ni laana kubwa.
Wakuu, Politicians ni watu wa maneno mengi.
Kwa waliomsikiliza Mbatia kwenye kipindi cha Dakika 45, jana atanielewa zaidi.
Mbatia aliongea uongo aliposema
Uingereza ilihama kutoka kwenye Ukabaila kwenda kwenye Ubepari (Feudalism to Capitalism) mwaka 1948...!!
What is this? Anatofauti gani na Mulugo aliyesema Tanzania ni muunganiko wa nchi mbili Visiwa vya Zimbabwe na Pemba?
Wanasiasa lazma wawe makini hasa wanapo Ongea kwenye Vyombo vya habari ambapo Watu wanafuatilia,
Mkuu uwe makini siku nyingine unapojaribu kufafanua kauli iliyotolewa na mtu mwingine...
Kwa namna tu ulivyoandika hapa ni dhahiri kuwa uelewa wako wa lugha ya Kiswahili una mushkeli...
Kuwa na vivutio vingi ni suala moja, kutembelewa na watalii wengi ni suala jingine kabisa...
Unaweza ukawa na vivutio vingi lakini huvitangazi, sasa sijui hapo utapataje watalii wataokutembelea!!! Na pengine huu ndio ulikuwa msingi wa hoja ya Bw. Mbatia.
Yaani we ndio Mulugo mkubwa. .. Manina zakoo!!Tanzania ni nchi ya pili kwa Vivutio vya Utalii Duniani...Sema wapu...MBA..vu wachache kama wewe na baba zako,ndio wanatufanya tusijitangaze Duniani
Tofautisha vivutio na kutembelewa na Watalii...Kenge kama wewe kule kwetu tunawasokola na kuwagogola...Mbatia yupo sahihi
Unatumia kigezo kipi kusema hiki ni kivutio kwa wagen maana unaweza Kudhan unavivutio kumbe ni vitu vya kawaida sana kwa wenzetu tofauti kabisa tunavodhania
Mkuu nakuomba uanzishe thread mpya maana hiyo ni mada nyingine kabisa tofauti na inayojadiliwa hapa...
Nataka kwanza tujiridhishe na hii kauli kuwa niwapili kwa vivutio vya utalii dunian
Tanzania is a country with many tourist attractions. More than 44 per cent of Tanzanias land area is covered with game reserves and national parks. There are 16 national parks, 29 game reserves, 40 controlled conservation areas and marine parks. Tanzania is also home to the famous Roof of Africa, Mount Kilimanjaro. On 6 January 2012 The New York Times awarded Tanzania the 7th position among 45 top destinations to visit in this year 2012.
Tourism in Tanzania - Wikipedia, the free encyclopedia
hapo ni wapi imeandikwa ya pale...
Kiwatengu, my point is not to get into argument with you or anyone over the Tanzania's position on tourist attractions. All i wanted to do is to show the facts and figures on this discussion.
thank you!!
but Wabongo sisi ni wa ajabu sana.