James Mbatia, kama Mulugo

Unaamini kuwa Tanzania ni nchi ya Pili kwa kuwa na Vivutio vingi Duniani?
au nawewe ni wakufuata mkumbo tu ?

ss ni nchi ya pili duniani kwa vivutio vingi tukitanguliwa na brazil.....
na ni nchi ya 103 duniani kwa kutembelewa if im nt mistaken.......so usipotoshe umma kwa sababu unazozijua wewe......
ka hujui kitu uliza uambiwe or sema kua huna uhakika......utaumbuka bureee.......😀😀😀
 
Hwa bwana mwakani wanatalikiana mchana kweupeeee no more ukawa
 

Tatizo lako ni lugha, amesema Tanzania ni nchi ya pili kwa vivutio vingi sio kwa kutembelewa na watalii... Mwombe radhi!
 
mimi huwa nawashangaa sana wanamsifia mbatia wakati jamaa fulani zembe tu hajui hata anachofanya kabisa.

gsu, ndio siasa ilivyo! watu kama Mbatia wapo wengi sana ingawa tatizo la Mbatia ni kudhani kuwa anajua sana kuliko hata waliomfundisha.
 

Wewe ni mpumbavu kuwa na vivutio vya utalii na kutembelewa na watalii ni v2 tofauti,Mbatia anasema Tz inavivutio vingi wewe unazungumzia kutembelewa na watalii mmhh...!!!
 
australia na uswisi wana vivutio gani kutuzidi sis dude u moron mangoese
 
Sasa naona unatoa ufafanunuzi wa Kimulugo maana hujui kutofautisha vivutio vya utalii na na kutembelewa na Watalii. Kuna nchi zina vivutio vichache lakini kwa sababu wanajua kujitangaza vizuri wana watalii wengi. Nitakupa mfano. Kuna watu wana beach labda moja tu lakini jinsi wanavyoitangaza vizuri wanakuwa na Watalii wengi kuliko wewe una Mbuga, milima, beaches, maporomoko etc
 
Yaani we ndio Mulugo mkubwa. .. Manina zakoo!!Tanzania ni nchi ya pili kwa Vivutio vya Utalii Duniani...Sema wapu...MBA..vu wachache kama wewe na baba zako,ndio wanatufanya tusijitangaze Duniani
Tofautisha vivutio na kutembelewa na Watalii...Kenge kama wewe kule kwetu tunawasokola na kuwagogola...Mbatia yupo sahihi
 

yaaani mtu km si FISADI alafu akawa karibu NA PEOPLES POWER baasi lazima MAGAMBA yatokwe Mapovu juu ya mtu huyo
yeye si FISADI ndo maana hata unavyo mkosoa hauna hoja ya msingi yaani MAGAMBA kwa wizi wote mlofanya hamjui kuwa TANZANIA ni ya PILI kwa vivutio vya utalii.
 
Wewe utakuwa unatumiwa na Lyatonga Mrema kama wewe si mwenyewe.Tambua yeye alizungumzia wingi wa vivutio na si wingi wa watalii. Jua Afrika mashariki mwaka jana tumeongoza kwa watalii kwa kuipiku Kenya.

Aisee Tanzania tuna vivutio vingi tu hata hili jina lako kwangu ni kivutio!
 

Usichanganye. Kuwa na vivutio vingi vya utalii na kutembelewa na watalii wengi ni vitu viwili tofauti. Tuna vivutio vingi lakini watalii wachache!- may be hatuvitangazi inavyopashwa!
 
Mulugo sasa liingie kwenye kamusi za kiswahili likimanisha mtu mwenye akili ndogo sana
 

Dada upo period nini?
 
Mkuu usisome mambo kwa kukurupuka wewe, hivyo vivutio vingi ni katika level gani?
Hizo nchi zinazotembelewa ni nini kinasababisha hadi zinatembelewa?
Kweli shughuli ipo mada uanzishe mwenyewe halafu unajiuliza swali mwenyewe. Usiogope rudi darasa la tatu uanze jifunza jiografia
 
Napita tu, ila point yangu ni moja tu. Mleta uzi hayou fair na picha yake aliyoiweka kwenye avator yake. AJIPIME kama bado ana uhalali wa kuendelea kuitumia hiyo avator ama lah, kwa aina za hoja anazozileta umu
 
Je mtoa mada unafikiri Tanzania ni ya ngapi katika vivutio? Maana unapopinga nafasi ya pili obvisious unajua nafasi yake,haya tutajue wewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…