James Mbatia huna shukrani

Rais hakumteua kama zawadi. alitambua na kukubali mchango wake.
Ila Mbatia atawasaliti wenzie kama Zitto alivyowasaliti Chadema. kikwete mjanja sana.
 
Mbatia anajitambua, tofauti na mainterahamwe ambayo asilimia kubwa ya akili zao zinashikiliwa magogoni, hapo dodoma wamebakishiwa kiasi kidogo tu kutosha kutukana,kuzomea na kuvukia barabara.
 

umemaliza
 
Asingeingia kwa ubunge BMK angeingia kwa uwenyekiti wake wa NCCR. Kwahiyo kuteuliwa kuwa mgombea ubunge kwa ticket ya CCM shukrani ni kusaliti Umma kwa hoja nyepesi?
 
Sikubali neno Intarahamwe litumike.
Linawakumbusha ndg zetu wa Rwanda machungu ya genocide.
Lipumba karopoka bila kujua madhara.
neno magamba linawatosha kabisa.
Cuf wakiitwa mwamsho wanapiga kelele kwan linahusisha iman ya kiroho.
Chadema wakiitwa wachagga na wakristo linawakosesha amani.
 
Duh, inahitaji kweli kuchonganisha hivi?
 
Hivi kwani mbatia hakuwa maarufu hadi wakati anateuliwa? Ivi kulikuwa na makubaliano kuwa akiteuliwa atatetea maovu ya ccm
 
Hivi umaarufu unaodai Mbatia anatafuta kwa kujiunga na Ukawa, Unafaida gani hapa Tanzania. Kama Mbatia siyo maarufu kiasi cha kuanza kuutafuta kwa Ukawa Mwenyekith wako alimjuaje mpaka akamteua kuwa Mbunge?

Macc mbona mnashida ya kushindwa kujenga hoja hivi mnashindwa angalau kutumia siku moja kusoma Hoja zinazotolewa na wenzenu wa Cdm then nanyi mjifunze namna ya kujenga hoja? Mmevimbiwa na kulewa mihela ya mafisadi kiasi cha kupofusha ubongo wenu.

BACK TANGANYIKA
 
 
Kumbe unajua anachokifanysa n cha kimaarufu we huna akili unataka ajiunge na kundi la shetan lililojaa waongo
 
Mbatia yuko ukawa kwa kazi maalumu ya serikali na pia mtikila.
 
Hongera mh mbatia kwa ujasiri, jamani hatuez fanana wooote kila mtu anapenda akipendacho na kuamini anachokiamini,wakati anateuliwa sidhani kama alipewa condition kwamva ccm watachotaka lazma na wewe utake na kama aliambiwa ivyo akakubali na leo kaeemnda agaist basi kakosa shukran bt kama ulikua ni uteuzi usio na mashart mwacheni afanye yake anachama chake kina sera zake na ana haki ya kufanya chochote anacho
 
Mbatia anajitambua, tofauti na mainterahamwe ambayo asilimia kubwa ya akili zao zinashikiliwa magogoni, hapo dodoma wamebakishiwa kiasi kidogo tu kutosha kutukana,kuzomea na kuvukia barabara.

Mkuu nilishawahi kuwaambia hapa kwamba hawa ccm akilizao kafanazo Nyerere.
 
Mhe. Mbatia ni kati ya wasomi, wanasiasa na wazalendo wa nchi hii wa kupigia mfano. Huyu ni mwanamageuzi hasa sio kama akina mrema wanaoahidiwa kupewa mafao yao haraka kisa kupingana na UKAWA. Watz wenzangu huu ndio wakati wa kujua mpinzani wa kweli ktk siasa za nchi hii.

Mungu Ibariki Tanganyika, mungu Ibariki Zanzibar, mungu Ibariki Tanzania.
 
Kumbe ukiteuliwa ni lazima ufuate ya mteul???? Majanga.. kumbe ndio maana kina Mwakyembe wamebadilika hivyo baada ya uteuzi?? Huu ndo USALITI

"In the end, we will remember not the words of our enemies, but the silence of our friends" - Martin Luther King Jr
 
wewe ulitakiwa uwe mirembe. nashangaa upo mitaani.

 
CDM walisema amehongwa ubunge lakini sasa wanamsifia.sasa ndio mjue JK ni mtu wa namna gani.

kikwete alimhonga ubunge akitarajia kuwa atakuwa msaliti! professionally mbatia ni engineer, na engineer wa ukweli huwa anasimamia anachokiamini!
 
anajitambua na kutambua wajibu wake kwa Taifa hili, hawezi kuburuzwa kwa vile tu ni mbunge wa kuteuliwa na kukubali kupoteza credibility yake pengine kama waliotajwa hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…