.....yes thats good.....wifi yako anajua kabisa, come Friday night.....to Sunday home till majogoo......! Monday to Friday.....mseminary pure.........!
hehehe!nimeipenda hiyo...!ratiba ya ijumaa itaendelea kuwa INTACT!just in case ukijisahaulisha...!😀...
nadhani patachimbika,maanake jumamosi ni maulidi.nakushauri ulale kabisa usingizi wa ijumaa
hehehe!nimeipenda hiyo...!ratiba ya ijumaa itaendelea kuwa INTACT!just in case ukijisahaulisha...!😀...
nadhani patachimbika,maanake jumamosi ni maulidi.nakushauri ulale kabisa usingizi wa ijumaa
Mamushka karibu sana. nimefurahi kujua kumbe maxence ni founder wa jf. nimechukua namba yako ya tigo kesho tutawasiliana unipe namba ya voda nichangie jf, mkono mtupu haulambwi. thanx pakajimmy kwa useful info jinsi ya kuchangia jf