Jambo usilolijua kwa watangaza nia Uais wenye umri above 70 yrs

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
Ukisoma Biblia Plsalm 90:10 inasema hivi "The years of our life are seventy, or even by reason of strength eighty; yet their span is but toil and trouble; they are soon gone, and we fly away." Sasa inakuwaje sisi vinchi maskini, visivyokuwa na mwelekeo wowote tunawaza kuwa na Rais ambaye hata Mwenyezi Mungu keshatwambia hafai...Naomba hihi kiwe kigezo katika kupitisha majina ya nani anafaa kuwa Rais wa nchi hii maskini saana kwa vyama vyote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom