Dini hairuhusu changa la macho, je uraisi wa marekani ni bora kuliko pepo, unatakiwa ukemee mabaya popote ulipo bila kujali kukosa ya kidunia, si ndio dini inavyosema? sasa hapo inakuaje?Sasa utafanyaje ndugu yangu! Ukifika mji kila mtu anachongo, nawe fumba lako moja ili usalimike. Kijana huyo ni Ustadhi kabisa, alisoma Madrasa pale Indonesia, anajua kilakitu, ila unadhani unaweza kua Rais wa Marekani bila kuwapiga changa la macho!
Dini hairuhusu changa la macho, je uraisi wa marekani ni bora kuliko pepo, unatakiwa ukemee mabaya popote ulipo bila kujali kukosa ya kidunia, si ndio dini inavyosema? sasa hapo inakuaje?
kumbe un akili nakusapot HAKI SAWA KWA WOTEKwa hakika kila mwenye akili salama anatambua kwamba hii ni nchi ya kuvumiliana kwa kuwa tunaamua sasa kuwa kila dini kivyake,tuanzie kwenye kuchinja twende kwenye mahoteli,hosptali,halafu tugawane na siku ya kupumzika kisha tuhamie kugawana na madaraka ya uongozi wa nchi yetu tukufu,na kila kinachowezekana kugawika tugawane na serikali itoe ruzuku kwa dini zote hii ndio njia pekee ya kuleta amani nchini mwetu
Tumesha waelezea sana kuhusu hili, mnatusumbua . Mihadhara itaendelea, pombe ni haramu, nguruwe ni haramu na ushoga ni haramu. Hamna haki ya kuchinja maana nyie sio dini ya Mungu.
Mungu ndo kitu gani mkuu? Angalia historia ya waafrika halafu soma vizuri mwanzo wa dini za kigeni (ukristu na uislam) halafu njoo na maana halisi ya huyo Mungu. Tunajaribu kumfahamu zaidi Mungu kupitia vitabu vya wayahudi na waarabu na kujifanya tunaelewa zaidi kuhusu Mungu. Ikiwa dini ni imani ya mtu kamwe hupaswi kumlazimisha mtu aamini kile unachoamini ilhali ana amini vingine. Tujiulize mababu zetu na wote ambao si waislam wala wakristu tunawaweka wapi. Iwapo unachoamini kinatokana na kilichoandikwa kwenye kitabu na kila dini ina chake huoni kuwa hatuwezi kuafikiana zaidi ya kuvumiliana? Katika imani hakuna iliyo bora zaidi ya nyingine bali ni kwa mtu binafsi. Ukitambua haya huwezi kujifanya we ndo uko sahihi zaidi ya mwenzako
Hauruhusiwi kuikana imani yako ili kumuhadaa mtu, ikibidi ni bora kufa kuliko kuliko kukana imani yako. Huyu jamaa aliikana imani yake, nadhani unakumbuka sokomoko lililompata kuhusu masuala ya dini wakati anaanza kugombea urais. Na anaonekana kuijenga nchi vilivyo kuliko waliotangulia, kwa maana hiyo je ni kwa nini anawajenga maadui badala ya kuwabomoa?Kumhadaa adui inaruhusiwa!
Tumesha waelezea sana kuhusu hili, mnatusumbua . Mihadhara itaendelea, pombe ni haramu, nguruwe ni haramu na ushoga ni haramu. Hamna haki ya kuchinja maana nyie sio dini ya Mungu.
hauruhusiwi kuikana imani yako ili kumuhadaa mtu, ikibidi ni bora kufa kuliko kuliko kukana imani yako. Huyu jamaa aliikana imani yake, nadhani unakumbuka sokomoko lililompata kuhusu masuala ya dini wakati anaanza kugombea urais. Na anaonekana kuijenga nchi vilivyo kuliko waliotangulia, kwa maana hiyo je ni kwa nini anawajenga maadui badala ya kuwabomoa?
waliomtangulia walishindwa kumdhibiti madevu , lakini yeye kamuua kikwelikweli je huoni kama bado anawasaidia kikwelikweli hao unaowaita maadui ambao unadhani anawahadaa?
Dini ya Mungu ni ipi? dini ni imani tu, unachoamini unaweza kukuta sio, how did you prove that your faith is real, tuache kutapatapa na kujikweza tu, ukipitia philosophy ya dini huwezi tena kujiona dini yako ndo ya Mungu.
Upande gani? Hivi wewe hatakama elimu yako ni ya NDALICHAKO, basi hata kusikia husikii. Sikatai kua wapo watu wenye majina ya kiislamu wenye kufanya Uhalifu waaina nyingi tu, ikiwemo Uchangudoa, Ujambazi, Ushoga nk. Lakini hao wanafanya hivyo kama sehemu ya jamii, sio kwa mujibu wa dini yao. LAKINI JE HILI LA KUPITISHA SHERIA BUNGENI KUHALALISHA USHOGA, NA KUUPITISHA KUWAKUBALI MAKANISANI, BADO NI WAISLAMU NDIO WANAO HUSIKA?.
WAKE UP MAN. FUNGUA MACHO NA MASIKIO YAKO. USIBU
Ha ha ha ha kumbe wamepitisha bungeni? mi nilidhani utatoa ushahidi kwamba msahafu wao umeruhusu? kama ni bungeni basi ni sehemu ya jamii tu kama hao mashoga walio wengi ambao ni wa upande wako.na kwa nini hawa mashoga wapo sana mikoa ambayo nyie mpo wengi? na wote ni wa upande huo huo wa kwako.usiniulize upande gani kwani unajifahamu kabisa kwamba uko upande upi
Hakuna kifungu kama hicho kwenye qur'an maana qur'an imesema wazi kuwa muislam anapaswa kula nyama iliyochinjwa kwa jina la ALLAH:shut-mouth:
Upande gani? Hivi wewe hatakama elimu yako ni ya NDALICHAKO, basi hata kusikia husikii. Sikatai kua wapo watu wenye majina ya kiislamu wenye kufanya Uhalifu waaina nyingi tu, ikiwemo Uchangudoa, Ujambazi, Ushoga nk. Lakini hao wanafanya hivyo kama sehemu ya jamii, sio kwa mujibu wa dini yao. LAKINI JE HILI LA KUPITISHA SHERIA BUNGENI KUHALALISHA USHOGA, NA KUUPITISHA KUWAKUBALI MAKANISANI, BADO NI WAISLAMU NDIO WANAO HUSIKA?. WAKE UP MAN. FUNGUA MACHO NA MASIKIO YAKO. USIBURUZWE TU.
Ha ha ha ha kumbe wamepitisha bungeni? mi nilidhani utatoa ushahidi kwamba msahafu wao umeruhusu? kama ni bungeni basi ni sehemu ya jamii tu kama hao mashoga walio wengi ambao ni wa upande wako.na kwa nini hawa mashoga wapo sana mikoa ambayo nyie mpo wengi? na wote ni wa upande huo huo wa kwako.usiniulize upande gani kwani unajifahamu kabisa kwamba uko upande upi
Tumesha waelezea sana kuhusu hili, mnatusumbua . Mihadhara itaendelea, pombe ni haramu, nguruwe ni haramu na ushoga ni haramu. Hamna haki ya kuchinja maana nyie sio dini ya Mungu.
Basi ni wewe pekeyako, maana yake hata waislamu wote ninaowafahamu waliokuwa huku, walisherekea.Nani kakwambia kua waislamu WOTE tuna msapoti madevu. Uislamu hauruhusu mauaji ya kiholela! Waislamu Wengi tulilaani kitendo cha Septemba 11, iwe kilifanywa na Madevu au Mtu yoyote.
hivi uyo yesu amekuja mwaka huu na kuwaambia muweke machinjio yenu? maana ukristo umekuwa km katiba kila siku kuna mpya
basi ni wewe pekeyako, maana yake hata waislamu wote ninaowafahamu waliokuwa huku, walisherekea.
Kumhadaa adui inaruhusiwa!
Tumesha waelezea sana kuhusu hili, mnatusumbua . Mihadhara itaendelea, pombe ni haramu, nguruwe ni haramu na ushoga ni haramu. Hamna haki ya kuchinja maana nyie sio dini ya Mungu.