Kwa hakika kila mwenye akili salama anatambua kwamba hii ni nchi ya kuvumiliana kwa kuwa tunaamua sasa kuwa kila dini kivyake,tuanzie kwenye kuchinja twende kwenye mahoteli,hosptali,halafu tugawane na siku ya kupumzika kisha tuhamie kugawana na madaraka ya uongozi wa nchi yetu tukufu,na kila kinachowezekana kugawika tugawane na serikali itoe ruzuku kwa dini zote hii ndio njia pekee ya kuleta amani nchini mwetu
Mzizi wa hizi choko choko ni Alhaj Jakaya Mrisho Kikwete Khalfani,,, mzee wa MsogaNawashauri wana JF na wa TZ kwa ujumla, badala ya kupoteza muda kujadili matokeo ya kidini mfano "kuchinja, kuuwawa na kutiwandani viongozi wa dini, kuchomwa nyumba za ibada, maandamano ya kidini n.k" hebu tutumie muda wetu kutafuta mzizi wa chokochoko hizi halafu tuukate. TUNAKOELEKEA NI KUBAYA WA TZ
Nawashauri wana JF na wa TZ kwa ujumla, badala ya kupoteza muda kujadili matokeo ya kidini mfano "kuchinja, kuuwawa na kutiwandani viongozi wa dini, kuchomwa nyumba za ibada, maandamano ya kidini n.k" hebu tutumie muda wetu kutafuta mzizi wa chokochoko hizi halafu tuukate. TUNAKOELEKEA NI KUBAYA WA TZ

Tumesha waelezea sana kuhusu hili, mnatusumbua . Mihadhara itaendelea, pombe ni haramu, nguruwe ni haramu na ushoga ni haramu. Hamna haki ya kuchinja maana nyie sio dini ya Mungu.
Tujaribu kuangalia kwa mifano nchi gani zina machafuka zaidi ya umwagaji damu zile zenye idadi kubwa ya wakristu au zenye idadi kubwa ya waislamu. Ukishajua huna haja ya kujua dini ipi ni ya Mungu. Pamoja na makomplikesheni yote humpendeza binadamu na si Mungu
Na kupata elimu ya kimagharibinako haramu pia si ndio? Refer Boko Haram na jamaa zenu Taliban
Gonga hapa: BBC News - Taliban continue to target schools
Tumesha waelezea sana kuhusu hili, mnatusumbua . Mihadhara itaendelea, pombe ni haramu, nguruwe ni haramu na ushoga ni haramu. Hamna haki ya kuchinja maana nyie sio dini ya Mungu.
Hakuna kifungu kama hicho kwenye qur'an maana qur'an imesema wazi kuwa muislam anapaswa kula nyama iliyochinjwa kwa jina la ALLAH:shut-mouth:
ila kipo kifungu cha KuWAITA MASHETANI,KUWATUMIA MASHETANI..hahahaha nyie noma..hicho ndo kitabu kitakatifu?
Sasa Mbona hata hao mashoga wote ni wa upande huohuo wa kwako ?
"Akili za kuambiwa changanya na zako" By J.K.Tumesha waelezea sana kuhusu hili, mnatusumbua . Mihadhara itaendelea, pombe ni haramu, nguruwe ni haramu na ushoga ni haramu. Hamna haki ya kuchinja maana nyie sio dini ya Mungu.
Unayemsema ni Mungu yupi? Yule wa shari na mauaji ambaye huwalazimisha watu kumfuata na kumwabudu kwa ncha ya upanga? au Mungu wa amani anayewapenda watu na kuwapa uhuru wa kuchagua kumwabudu kama itikio la upendo wa mioyo yao kwake?? Maana hizi dini zinaonyesha kuwa zinaanbudu Mungu tofauti!!!
kwanini tuna ua watu, soma historia vizuri. Shame on men or gays?
Mbona mzizi upo wazi? Mzizi wa tatizo ni Kikwete, kutaka madaraka kwa njia yoyote ikiwemo kumwaga damu za watanzania. Kwa miaka na miaka tumeishi kwa amani, lakini 2010 alipoona dalili za kurudi Ikulu zinapotea akaona atumie udini ili kumuwezesha kurudi tena Ikulu. Na haya ndo matokeo ya uroho wa Kikwete kutafuta madaraka. Nina wasiwasi miaka yake miwili ya utawala haitaisha kabla nchi haijaingia vitani.Nawashauri wana JF na wa TZ kwa ujumla, badala ya kupoteza muda kujadili matokeo ya kidini mfano "kuchinja, kuuwawa na kutiwandani viongozi wa dini, kuchomwa nyumba za ibada, maandamano ya kidini n.k" hebu tutumie muda wetu kutafuta mzizi wa chokochoko hizi halafu tuukate. TUNAKOELEKEA NI KUBAYA WA TZ
Kwani huo ushoga uko wapi sana zanzbr na pwan au?ufilaji kaleta nani si huyo huyo mwarabu?
Unayemsema ni Mungu yupi? Yule wa shari na mauaji ambaye huwalazimisha watu kumfuata na kumwabudu kwa ncha ya upanga? au Mungu wa amani anayewapenda watu na kuwapa uhuru wa kuchagua kumwabudu kama itikio la upendo wa mioyo yao kwake?? Maana hizi dini zinaonyesha kuwa zinaanbudu Mungu tofauti!!!
Mzimu naona avator yako umeweka picha ya shoga, inakuaje tena atii?
Nani apeleke mtoto wake Akasome ulaya, aje akose wajukuu? Huko Midume inaolewa tena Makanisani. Sheria za nchi zishapitisha Wanaume kuolewa na wanaume wenzao Ruksa. Mtoto akirudi masomoni ulaya, unaona anacheka cheka tu, kumbe ndio hivyo tena. Mhhmhhh! MSIJE MKATUCHAFULIA HALI YA HEWA BURE! BAKINI NA ELIMU YENU! SISI TUSHAZOEAGA KUSUSA ELIMU ZA HIVYO.
Mzimu naona avator yako umeweka picha ya shoga, inakuaje tena atii?