We ni kopo kweli mku,kwani mambo na vijimambo ni program ya wasafi?
Kile ni kipindi cha wale wale jamaa Kwaio wanazalisha kipindi wenyewe na wanaamua wapeleke TV gani yenye fan base kubwa ili waonekane eneo kubwa na kupata wadhamini wengi au malipo kutoka kwa Mmiliki wa TV.
Ni sawa na program ya dude ya bongo dar es salaam.
Now wasafi TV ndio inayotrend sana kwa vijana nk na inapatikana kwenye almost platform zote hapa tz tofauti na EATV ambao wanashuka kila uchwao
Nadhani tukichora graph la TV station za tz,utaona kabisa EATV inapotea na wasafi TV inapanda,
Na sio hao tu wa mambo na vijimambo,wako wengi wenye program zao wamezipeleka wasafi TV kutoka vituo vinginevyo.
Mfano women matter's from TV-E,
Bongo dar es salaam,kuna kile cha katambuga nk.