Jambo moja tu kwa watanzania wote

Ninja

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
353
543
Hivi ni jambo gani moja tu likifanyika au likitokea asilimia kubwa sana ya watanzania tutafurahi na kushangilia?

Taja jambo moja tu.
 
mambo mengi mazuri yenye faida ya muda mrefu siku zote hufurahiwa na watu wachache sana.
Ukitaka ya wengi, mara nyingi sio mazuri, Jifunze kwa wayahudi pamoja na Yesu kuwaponya,kufufua ndugu zao, kuwapa vyakula,kuwapa matumaini lakn wengi walisema ni Bora jambazi na Gaidi Baraba aachiwe huru kuliko yesu kukaa mtaani hai.
 
hii falsafa nimetoka bila bila.
 
Back
Top Bottom